Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ni aibu sana vibwengo wa mwanza eti wanaringishia infrastructure za serikali? 🤣 🤣 Arusha wenzenu wapambanaji, shauri yenu, mtabaki kuonewa mjini. SI unit ya ushamba.
Nyie mnaringia Nini asee mbona unajitoa ufahamu
-center ya radiation si serikali imejenga
- EAC conference centre mmejenga nyie
_parot hotel si jengo taasisi ya srikali
- ngoro ngoro tower si serikali
_ tengeru sakina si serikali
-kisongo nayo, au ni uwekezaji wako
-gemstone si serikali
- n.k au akili yako inapiga reverse wakati mwingine
 
Washamba utawajua tu,🤣🤣 eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Hao google ni washamba waliopiga picha za arusha?
 
Nyie mnaringia Nini asee mbona unajitoa ufahamu
-center ya radiation si serikali imejenga
- EAC conference centre mmejenga nyie
_parot hotel si jengo taasisi ya srikali
- ngoro ngoro tower si serikali
_ tengeru sakina si serikali
-kisongo nayo, au ni uwekezaji wako
-gemstone si serikali
- n.k au akili yako inapiga reverse wakati mwingine
Tunabishana na vichaa hapa, baki nao ngoja nikalale
 
Washamba utawajua tu,🤣🤣 eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Leta KISAMVU chako basi tushindie *****
 
Washamba utawajua tu,[emoji1787][emoji1787] eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Achana na wasukuma wengine ambao hauwajui battle na mimi msukuma

Mimi nakuzidi wewe kila kitu[emoji16] yaaani kila kitu

Ninauwezo wa kulisha familia yenu yote [emoji1]
 
USHAMBA na ULIMBUKENI unawatesa
Kila kitu tumewazidi hakuna kitu ambacho kipo arusha Mwanza hamna, lkn kuna vitu vingi vipo Mwanza lkn Arusha havipo hili hawataki kukubali, kutwa nzima wamekalia watu wa mwanza washamba, ukiwauliza ushamba wao ni nini hawana majibu, hawa watu vichwani kuna shida.
 
Wanataka battle za maneno na matusi ndio furaha yao
Siku nyingine kama wameegemea mlengo huu wasianzishe maada kama hii ya kipuuzi. Wakianzisha wajue justification ya maneo ni picha na data zinginezo.
 
Siku nyingine kama wameegemea mlengo huu wasianzishe maada kama hii ya kipuuzi. Wakianzisha wajue justification ya maneo ni picha na data zinginezo.
Wanataka tujustify vipi bila kuleta justification, justification ni kama picha na data mbalimbali zenye fact na evidence.
 
Hivi tunabishana na hawa vichaaa [emoji1][emoji1]

Wakishika simu watakwambia arusha ni jiji la kitalii

Reality sasa[emoji3]
CtYSGx7WIAAiUoJ.jpeg.jpg
 
Hongereni vijana wa Mwanza, mmewafanya watu wa arusha kupanic mapema na kujichukulia ushindi mapema kabisa.
 
Leo nimeelewa kwanini kilimanjaro ilijimegua kutoka arusha [emoji3][emoji3]

Angalia mlima meru ilivyo mrefu[emoji3][emoji3][emoji3]
street-in-arusha-tanzania-with-mt-meru-in-background-east-africa-E9GEN0.jpg
 
Back
Top Bottom