Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ni wabinafsi sana hawa jamaa zetu,kila siku walikuwa wanatupigia makelele kuwa wana umeme mpaka Migombani,kumbe yote ilikuwa wanajimegea watakavyo kwenye fuko la Taifa.JPM kaja akawanyoosha sawa sawa na kuwaonyesha kila mtu anaweza kupendelea alikotoka.Hasa huyo msuya ndio alikuwa fala sana alipeleka umeme adi kwenye migomba, barabara adi kwenye vichochoro, huyo msuya alikuwa mbaguzi sana, pili mkapa alipeleka maendeleo sana huko kaskazini kuliko sehemu yoyote kwa nguvu ya mke wake kwasababu alikuwa mchaga, walikuwa wamezoea maendeleo ya mbeleko akaja jemedari akasema kila sehemu inastahili kupata maendeleo ikawa tabu kwao na kuanza kumchukia magufuli, uzuri Rais Samia amesha wajua hao watu naye amewakatia mirija ya mbeleko.