Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ni wabinafsi sana hawa jamaa zetu,kila siku walikuwa wanatupigia makelele kuwa wana umeme mpaka Migombani,kumbe yote ilikuwa wanajimegea watakavyo kwenye fuko la Taifa.JPM kaja akawanyoosha sawa sawa na kuwaonyesha kila mtu anaweza kupendelea alikotoka.
 
Lile jengo ni la shirika, ile hotel ilikuwa inasimamiwa na HR wa kichaga lakini sasa kuna mkenya pale, hakuna hotel kubwa ya mchaga hapa Mwanza!
Nilimpuuza sana alivyosema lile jengo ni la Mchagga,hapo ndiyo nikajua anajiropokea tu bila hata kujua nani analimiliki.
 
Magufuli mungu amlaze mahali pema peponi, aliwanyoosha hawa washenzi.
 
Nilimpuuza sana alivyosema lile jengo ni la Mchagga,hapo ndiyo nikajua anajiropokea tu bila hata kujua nani analimiliki.
Nimewaambia alete hotel kubwa ya mchaga hapa mwanza nipigwe ban ya miaka 100.
 
Hao wachaga kama wamezoea kuwatawala wazaramo huku dar, huku Mwanza mchaga hafaamiki.
 
Ukubali tu huna cha kupost na 'utima' wako.Kama ulijua ni vya kitoto why umepiga kambi sasa kwa huu uzi na unajua huu uzi unasindikizwa na evidence za picha?
Mkuu huo muda sina..
Kitu ambacho nimegundua pia huu uzi ni wa wasukuma haiwezeni niandiake post moja nijibiwe mara 30 na watu tofauti tofauti mnanijazia notifications
 
Mkuu huo muda sina..
Kitu ambacho nimegundua pia huu uzi ni wa wasukuma haiwezeni niandiake post moja nijibiwe mara 30 na watu tofauti tofauti mnanijazia notifications
Mkuu ukija kwenye mada hizi,hakikisha una kifua cha kuhimili mjadala,vinginevyo utaishia kupanic bure.Tulia sasa watu waendelee kushusha mapicha na wewe endelea kufurahia mada ndiyo maana upo hapa umepiga kambi.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Amekuja kujipendekeza Mwanza,hakuna aliyemuhitaji,angebaki huko huko Uchagani
Acheni mijengo ya wanaume hio.ukizubaa hata wewe unahamishwa kwako,huna hela huna sauti,kaa kimya
 
Makasiriko yako peleka kule lakini kama utaendelea kucomment utajibiwa tu.
Wala sina makasikiriko ila nashangaa navyojibiwa na watu wengi tangu jana..
Kwamba magorofa ni very serious issue mwanza
 
Kama vile kina Mramba,Msuya na Mama Mkapa kupitia Mh.Mkapa walivyowapendeleeni miaka hiyo mkawa mnajiona mna uwezo wa kujenga.JPM kawaonjesheni kidogo tu tamu ya kupendelea anakotokea mlitaka kulipuka kwa makasiriko.
Imekula kwenu sasa,harudi tena 🤣
 
Wala sina makasikiriko ila nashangaa navyojibiwa na watu wengi tangu jana..
Kwamba magorofa ni very serious issue mwanza
Mkuu ukiona mada inakuboa kwakuwa watu wameng'ang'ania Magorofa tu unaachana nayo na hutoona ukijibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…