Cha asubuhi anawagongelea misumari sio poa.Naona unawanyoosha kama rula
Hakika wewe ni mama wa kuchombeza tu, samahani kama nimekosea jinsia yako🙏🙏🙏🙏Ni haki Chuga Boys watokwe povu kwa spana hizi
Wewe ni mjinga kweli na ndio maana mnadeal na v2 kama simu na mambo yakijingajinga.London, jo'burg zimezingukwa na maji ya bahari na mito mikubwa ukitoa tu hiyo Nairobi.
Iyo ni tidal river sio bahari uache kukurupukaHapa London [emoji116]View attachment 2524257View attachment 2524258
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Yule jamaa wa Samsung A03 mwaka huu lazima abadilishe simu, sio kwa humiliation anayopitia[emoji23][emoji23]Cha asubuhi anawagongelea misumari sio poa.
Google. Watu wa mwanza wazitoLeta picha tuone hiyo usa river plaza sisi hatuijui na kama ni uongo na umetunga tu jina
Nikileta picha mtakimbia. Google mbona zipo nyingi? Tatizo zitakuwa compressed sana. Ishi na hizo kwanza.Mkuu kubali tu ligi imekuwa ngumu kwenu,mmeleta picha zote mmemaliza na sasa hakuna jipya mtatuletea hapa.Mwanza hoyee[emoji119][emoji119]
Naiona mlimani city yenu [emoji28][emoji28][emoji28]Nikileta picha mtakimbia. Google mbona zipo nyingi? Tatizo zitakuwa compressed sana. Ishi na hizo kwanza.
Wala, tuna shoppers, rushders, yani kuna malls na supermarkets way back, usisahau hii ni diplomatic area. Mi naenda arusha in the 90s even huku dar ukitoa upande wa mashariki supermarkets tulikuwa hatuzijui kivile, i mean it. Nyie rock city mall yani ndio imewatoa ushamba 🤣🤣🤣
River Thames inaflow maji baharini.... Arusha mandhari hata ya mito hamna .....
Kwa hyo kwenye malls utapeleka,, shoppers,,,[emoji12][emoji12][emoji12]acha bas ulimbukeni....Wala, tuna shoppers, rushders, yani kuna malls na supermarkets way back, usisahau hii ni diplomatic area. Mi naenda arusha in the 90s even huku dar ukitoa upande wa mashariki supermarkets tulikuwa hatuzijui kivile, i mean it. Nyie rock city mall yani ndio imewatoa ushamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FYI uzuri wa mji ni infrastructures, city plans nk,mwanza infrastructure mko below per, plans ndio chenga kabisa...hata Musoma kuna ziwa don't you get it twistedRiver Thames inaflow maji baharini.... Arusha mandhari hata ya mito hamna .....
Miji yote mikubwa na mizuri Duniani Ina water bodies ya aina yoyote kuanzia mito mikubwa,maziwa au bahari.....hata geneva jina mnalojiita Ina ziwa ,,,Istanbul , Frankfurt, Beijing,new York,,
Arusha inakaa sawa na Lilongwe,Malawi huko [emoji28][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo infrastructure za arusha ziko wapi ......FYI uzuri wa mji ni infrastructures, city plans nk,mwanza infrastructure mko below per, plans ndio chenga kabisa...hata Musoma kuna ziwa don't you get it twisted
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Pamoja na yote hayo ila Mwanza imewakalisha mbaaliii mno[emoji3]Chuga ni Mji Mkuu wa Kidiplomasia na Utalii Wa Afrika..
EAC HQ
PAPU HQ
Makao Makuu ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu
Mwanza hakuna kitu ni makelele tuu
Unajua maana ya diplomasia [emoji28][emoji28][emoji28].au unaongea tuChuga ni Mji Mkuu wa Kidiplomasia na Utalii Wa Afrika..
EAC HQ
PAPU HQ
Makao Makuu ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu
Mwanza hakuna kitu ni makelele tuu
Sina muda wa kijinga, subirini musoma ijenge uwanja wao wawachukulie watalii, na mtabaki kama tunduma.Google. Watu wa mwanza wazito
Kwa hiyo makao makuu ya wasukuma yameukalisha mji mkuu wa kidiplomasia Africa!![emoji3][emoji3] pongezi kwa ndugu zangu wasukumaUnajua maana ya diplomasia [emoji28][emoji28][emoji28].au unaongea tu
Sent using Jamii Forums mobile app