Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

No one is insane enough to battle me I'm so scary I'll wear my own mask for Halloween. Dizasta. Napenda kupiga picha mazingira na sina picha yangu hata moja😀😀
Screenshot_20230220-190247_Gallery.jpg
 
London, jo'burg zimezingukwa na maji ya bahari na mito mikubwa ukitoa tu hiyo Nairobi.
Wewe ni mjinga kweli na ndio maana mnadeal na v2 kama simu na mambo yakijingajinga.
Johannesburg imezingukwa na bahari gani wewe?[emoji2][emoji2][emoji1787]
Au tuambie London imezungukwa na bahari gani ?watu muache ujinga

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kubali tu ligi imekuwa ngumu kwenu,mmeleta picha zote mmemaliza na sasa hakuna jipya mtatuletea hapa.Mwanza hoyee[emoji119][emoji119]
Nikileta picha mtakimbia. Google mbona zipo nyingi? Tatizo zitakuwa compressed sana. Ishi na hizo kwanza.
 

Attachments

  • Screenshot_20230220-191344~2.png
    Screenshot_20230220-191344~2.png
    197.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230220-190142~2.png
    Screenshot_20230220-190142~2.png
    125.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230220-185415~2.png
    Screenshot_20230220-185415~2.png
    179.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230220-191344~2.png
    Screenshot_20230220-191344~2.png
    197.2 KB · Views: 4
Naiona mlimani city yenu [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala, tuna shoppers, rushders, yani kuna malls na supermarkets way back, usisahau hii ni diplomatic area. Mi naenda arusha in the 90s even huku dar ukitoa upande wa mashariki supermarkets tulikuwa hatuzijui kivile, i mean it. Nyie rock city mall yani ndio imewatoa ushamba 🤣🤣🤣
 
Iyo ni tidal river sio bahari uache kukurupuka

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
River Thames inaflow maji baharini.... Arusha mandhari hata ya mito hamna .....
Miji yote mikubwa na mizuri Duniani Ina water bodies ya aina yoyote kuanzia mito mikubwa,maziwa au bahari.....hata geneva jina mnalojiita Ina ziwa ,,,Istanbul , Frankfurt, Beijing,new York,,

Arusha inakaa sawa na Lilongwe,Malawi huko [emoji28][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala, tuna shoppers, rushders, yani kuna malls na supermarkets way back, usisahau hii ni diplomatic area. Mi naenda arusha in the 90s even huku dar ukitoa upande wa mashariki supermarkets tulikuwa hatuzijui kivile, i mean it. Nyie rock city mall yani ndio imewatoa ushamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hyo kwenye malls utapeleka,, shoppers,,,[emoji12][emoji12][emoji12]acha bas ulimbukeni....
Hapa malls ni rock city mall, mlimani city mall,sky city mall, city mall,mkuki house,dar free market,GSM mall msasani ,na hyo Aim mall hapo kwenu [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
River Thames inaflow maji baharini.... Arusha mandhari hata ya mito hamna .....
Miji yote mikubwa na mizuri Duniani Ina water bodies ya aina yoyote kuanzia mito mikubwa,maziwa au bahari.....hata geneva jina mnalojiita Ina ziwa ,,,Istanbul , Frankfurt, Beijing,new York,,

Arusha inakaa sawa na Lilongwe,Malawi huko [emoji28][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
FYI uzuri wa mji ni infrastructures, city plans nk,mwanza infrastructure mko below per, plans ndio chenga kabisa...hata Musoma kuna ziwa don't you get it twisted

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Chuga ni Mji Mkuu wa Kidiplomasia na Utalii Wa Afrika..

EAC HQ
PAPU HQ
Makao Makuu ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

Mwanza hakuna kitu ni makelele tuu

 
FYI uzuri wa mji ni infrastructures, city plans nk,mwanza infrastructure mko below per, plans ndio chenga kabisa...hata Musoma kuna ziwa don't you get it twisted

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hizo infrastructure za arusha ziko wapi ......
Infrastructure ni man made na muda wowote zinawekwa ila mazingira ni nature na ndio hutengeneza mandhari ya kuvutia watu ..
Jiulize johansburg ni mji mkubwa kuliko cape town..lakin watu wanapenda kwenda Capetown kuliko Joburg ...jibu lipo kichwani mwako ...
kwanza Kwa taarifa yako Mwanza inaizidi mbali Arusha Kwa city explore tourism..idadi ya watalii wa ndani na nje wanaokuja Kutalii mazingira ya mji ..ukitaka kuamini nenda you tube kasearch vlogs za city tour kati ya mwanza na Arusha uone ni mji Gani utakuwa na video nyingi za watu Toka maeneo mbalimbali ya nchi na Africa mashariki..
Arusha kiutalii ni kama point ya mapumziko kuelekea mbuga za wanyama nothing more [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza nimewawekea rasharasha naona wamepoteana. Tena viscreenshot tu. Subiri april niende arusha nami niwe mshamba nipige vipicha mtajua hamjui. Mwanza wepesi sana kwa Arusha. Nasema wepesi sana. Hamna cha kuwatisha ila wao wanavyo vingi, wanawadharau sana.
 
Back
Top Bottom