Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kuna siku nilikwenda arusha nikawapostia waskuma parking ya hydraulic ambayo mwanza hawana na hawaijui ila arusha ipo since the early 2000s, mtaa wa mnazi mmoja nbc pale. Yakatulia. Nimeweka hizo tuwili tu, yamekimbia. 🤣🤣🤣
 
Mwanza nimewawekea rasharasha naona wamepoteana. Tena viscreenshot tu. Subiri april niende arusha nami niwe mshamba nipige vipicha mtajua hamjui. Mwanza wepesi sana kwa Arusha. Nasema wepesi sana. Hamna cha kuwatisha ila wao wanavyo vingi, wanawadharau sana.
Unachekesha sana
 
Unaweka mall inayozidiwa na buzuruga plazza then unajiona mjanja
 
Kuna siku nilikwenda arusha nikawapostia waskuma parking ya hydraulic ambayo mwanza hawana na hawaijui ila arusha ipo since the early 2000s, mtaa wa mnazi mmoja nbc pale. Yakatulia. Nimeweka hizo tuwili tu, yamekimbia. 🤣🤣🤣
Leta picha hiyo ya hydraulic parking
 
Kuna siku nilikwenda arusha nikawapostia waskuma parking ya hydraulic ambayo mwanza hawana na hawaijui ila arusha ipo since the early 2000s, mtaa wa mnazi mmoja nbc pale. Yakatulia. Nimeweka hizo tuwili tu, yamekimbia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe masikini mshamba toka hapa hujui chochote

Watu wanatoka France kwenda kupiga picha Hollywood sign...alafu wewe unasema picha ni upuuzi
Mshamba ni wewe usiye na kazi anazunguka mjini kupiga picha magorofa ili alete JF ukiwa na kazi ya kufanya huo mda utakuwa nao...tatizo ni kumiliki smartphone ukiwa mtu mzima
 
Umekosa la kujitetea, mwenzako anafanya kazi kwa starehe bila stress na anapopata muda anautumia kupiga picha na kutupa updates, hizo picha za Google zisingekuwepo bila watu kama sisi, hiyo ni hobby yetu na tunapenda jiji letu la Mwanza.
 
hakuna mtu mwenye kazi atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na kupiga picha ili alete jf..
 
Mwanza nimewawekea rasharasha naona wamepoteana. Tena viscreenshot tu. Subiri april niende arusha nami niwe mshamba nipige vipicha mtajua hamjui. Mwanza wepesi sana kwa Arusha. Nasema wepesi sana. Hamna cha kuwatisha ila wao wanavyo vingi, wanawadharau sana.
Vizuri sana, sasa naona unajenga hoja vizuri umeacha kutuita washamba na maskini[emoji3][emoji3]
 
hakuna mtu mwenye kazi atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na kupiga picha ili alete jf..
Unazan hizo picha nimezipata kwa kuzunguka mjini kwa siku moja? Mimi ni mtu wa occation, na huwa najipa muda siku za weekend kwenda sehemu tofaut tofaut na kupiga picha na kuzitunza.

Napenda pia watu waone Mwanza yao, sehemu za bata, hotel, lounge, poshy, n.k ni utamaduni wangu na siombi pesa ya mtu.
 
[emoji3] mkuu kuna watu wanatengeneza hela sio kwa kutumia nguvu nyingi au muda mwingi
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Unazan hizo picha nimezipata kwa kuzunguka mjini kwa siku moja? Mimi ni mtu wa occation, na huwa najipa muda siku za weekend kwenda sehemu tofaut tofaut na kupiga picha na kuzitunza.

Napenda pia watu waone Mwanza yao, sehemu za bata, hotel, lounge, poshy, n.k ni utamaduni wangu na siombi pesa ya mtu.
Wewe ni lofa tu na hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Nadhani hii ni hobby ya mtu,,,, hapo arusha hakuna wazungu wanaotembea na ma camera??
 
Nadhani hii ni hobby ya mtu,,,, hapo arusha hakuna wazungu wanaotembea na ma camera??
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Wewe ni lofa tu na hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Nadhani hiyo inaitwa photojournalism wala sio ujinga
 
Nadhani hiyo inaitwa photojournalism wala sio ujinga
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Wewe ni lofa tu na hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Hizo picha za Mwanza kuna maghorofa tu, acha ujinga na wivu, alafu hii battle mlivyoanzisha mlitaka tushindane kwa maneno bila picha?

Basi naanza Mwanza kuna kiwanda cha magari Tanzania nzima hamna
Mwanza kuna sport arena ya kubeba watu laki mbili nyie hamna.
Mwanza kuna barabara za njia nanenane arusha hamna
Mwanza kuna jengo la ghorofa mia mbili na zipo kama ishirini je nyie mnayo
Mwanza kuna barabara za mitaani mpaka uchochoroni
Mwanza ina gdp ya trillion 500 je nyie una uchumi kiasi gani?

Haya twende kazi kwa style hiyo ya bila picha na evidence ili watu ambao hawajafika Mwanza nao waamn.
 
Hizo picha za Mwanza kuna maghorofa tu, acha ujinga na wivu, alafu hii battle mlivyoanzisha mlitaka tushindane kwa maneno bila picha?

Basi naanza Mwanza kuna kiwanda cha magari Tanzania nzima hamna
Mwanza kuna sport arena ya kubeba watu laki mbili nyie hamna.
Mwanza kuna barabara za njia nanenane arusha hamna
Mwanza kuna jengo la ghorofa mia mbili na zipo kama ishirini je nyie mnayo
Mwanza kuna barabara za mitaani mpaka uchochoroni
Mwanza ina gdp ya trillion 500 je nyie una uchumi kiasi gani?

Haya twende kazi kwa style hiyo ya bila picha na evidence ili watu ambao hawajafika Mwanza nao waamn.
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Mshamba ni wewe usiye na kazi anazunguka mjini kupiga picha magorofa ili alete JF ukiwa na kazi ya kufanya huo mda utakuwa nao...tatizo ni kumiliki smartphone ukiwa mtu mzima
Sijakulia familia za mama na baba wanuka jasho kama wewe, mimi ni boss sifanyi kaz kama punda mwisho wa mwezi nilipwe pesa ya mavi mavi[emoji3]

Naishi nitakavyo mimi, we jibwa la mitaani unalala unaota pesa[emoji3] hauna pesa wewe yoko mbili

Relax kijana maisha yapo tu, walaumu wazazi wako kwa kutoweka misingi mizuri ya maisha yako
 
Back
Top Bottom