run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣Mkuu pumzika sasa,naona hii mada inakuvuruga na bado umeng'ang'ana nayo wakati uwezo wa kuhimili huna.