Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

angalia picha ya moshi town hiyo , wamewazidi.
Tema huo ugolo mdomoni uongee tukusikie. CBD ya Arusha shindanisha na Moshi. Sisi tunawapatia mwaloni, kirumba, Ghana na nera vs Arusha,
hapo pasiansi na bwiru sijaziweka, ibanda na kabusungu pia.
 
Ugoro sio ugolo. Angalia chizi mwenzio kitu anaona cha maana kupost. mediocre.
 
Mwanza tuleteeni Barabara zenu
Arusha 🔥🔥
20230302_190622.jpg
20230302_190620.jpg
20230302_190627.jpg
20230302_190624.jpg
 
Wanasema Arusha ni Bata
Lakin sijawahi sikia celebrities wa kimataifa wakienda fanya show huko ..anzia fally ipupa,neyo ,wizkid,shaggy,Kofi Olomide,n.k
 
Interest. Hatufati mkumbo, ata aina ya muziki tunaosikiliza ni tofauti.
 
Back
Top Bottom