Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ndio umetafuta kichaka Cha kujifichia huko au siyo? [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Hakuna kitu Mwanza mnaiweza Arusha,that is just a shithole town
Siku hiz hunaga hoja ....na huu Uzi hauwezi kuleta mabasi maana ndiko Huwa unakimbilia ,,,we Baki na njombe yako Arusha huiwezi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
20220826_224006.jpg
20220901_151300.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ni moja ya mikoa wanawake wanaongoza kumiliki nyumba, tafsiri yake ni kuwa kuna wanaume wajinga sana. Mwanza inaizidi Arusha idadi ya watu, tafsiri yake ni kuwa hawajui uzazi wa mpango, ni wajinga.
wazembe, all in all ni uzembe.
Arusha pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu kuliko mwanza, inaizidi kwa idadi ya nyumba za ghorofa, huduma za kidiplomasia, uwiano wa hospitali kwa eneo, na uwiano wa hospitali kwa idadi ya watu. Arusha inaongoza kwa idadi kubwa ya majengo ya ghorofa, hoteli za viwango na ujenzi wa kisasa. Ata idadi ya magari tu, Arusha inaongozaArusha ni modern city, mwanza sio modern city. Mwanza bado wapo kwenye phase ya kushangaa maana vitu vimechelewa kuwafikia. Battle ya mwanza na arusha sio sawa. Labda mwanza na dodoma au tanga ambazo kimsingi zilikuwa au zipo mbele ya mwanza ukitoa population.
 
Mwanza ni moja ya mikoa wanawake wanaongoza kumiliki nyumba, tafsiri yake ni kuwa kuna wanaume wajinga sana. Mwanza inaizidi Arusha idadi ya watu, tafsiri yake ni kuwa hawajui uzazi wa mpango, ni wajinga.
wazembe, all in all ni uzembe.
Arusha pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu kuliko mwanza, inaizidi kwa idadi ya nyumba za ghorofa, huduma za kidiplomasia, uwiano wa hospitali kwa eneo, na uwiano wa hospitali kwa idadi ya watu. Arusha inaongoza kwa idadi kubwa ya majengo ya ghorofa, hoteli za viwango na ujenzi wa kisasa. Arusha ni modern city, mwanza sio modern city. Mwanza bado wapo kwenye phase ya kushangaa maana vitu vimechelewa kuwafikia. Battle ya mwanza na arusha sio sawa. Labda mwanza na dodoma au tanga ambazo kimsingi zilikuwa au zipo mbele ya mwanza ukitoa population.
Unaongea sana..ila vitendo hamna
Special flight [emoji116][emoji116]
1678622488841.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom