Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mnyama mkali utaupata tu Arusha
willytarimo-20230313-0001.jpg
 
Yani hapo sasa si pamezidiwa ata na tengeru [emoji1787][emoji1787] nini hicho? Nyumba zenyewe mbili, mwanza wanatia huruma, yani mtu anatamba na hiyo takataka kabisa? [emoji1787]
Ata = hata
 
Haibadilishi matamshi ngosha, tofauti na nyie wa R na L, balabala, lafiki. Totally nuts.
Hakuna neno 'ata' ni linatamkwa 'hata' unajifanya mjuaji wa kukosoa uandishi wa wengine wakati hata wewe matumizi sahihi ya herufi huyafahamu.
 
Sijawai kukataa. Mwanza kitu pekee inaizidi Arusha ni wingi wa mazuzu. Kweli yanazaa hayo mashamba. Ila vingine vyote wanazidiwa na Arusha tena mbali sana.
Maneno bila evidence kwangu ni sawa na Uzwazwa
 
Ukija na hii style utaumbuka,hii nyumba wana actia watu wa tamthilia ya Jua kali.Hebu lete vizuri picha ya hapo mbele.Tutakuumbua ukiwa unatuletea mijengo ya Dar
Ongea Tena bumbaaavu shida unajifanya mjuaji na hakuna unachojua we ungekaa kimya tu
Screenshot_20230313-162910.jpg
 
Back
Top Bottom