Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hizi grocery ndio unaita hotel na watu wanjombe si wataita hotel za nyota 5[emoji23][emoji23]
Hamna, Arusha kuna hoteli nyingi zaidi na zina hadhi tofauti tofauti kutokana na aina ya wageni wanaofika....si kama Mwanza. Mwanza utasikia hoteli ya kitalii lakini ukiingia hutaona tofauti na hoteli zingine, zaidi ya kuwa bei ni ghali... lakini kwa Arusha ni tofauti. ARUSHA kuna hoteli zenye hadhi ya kidiplomasia za kimataifa kama vile Mount Meru Hotel ambayo hadhi yake ni kama Kilimanjaro/Kempinsky ya Dar es Salaam.
 
Weka humu hizo hotel tuzione ili tuje huko, maneno sio jadi yetu sisi wanaume, weka picha maneno kidogo.
 
Washamba wanapenda picha hawa, nani anamuda wa kupigapiga picha kila saa? Rudi kwenye page za nyuma huko. Shamba people from shamba city doing shamba things.
 
Kumbe hata wazungu ni washamba naona wameturithisha utamaduni wa picha kuliko maneno, nami nikisema mwanza kuna kiwanda cha magari si mtabisha, ila nikileta picha nadhani mtaamini haraka kuliko maneno.
 
Wasikuchanganye mkuu Kuna vitu vinahitaji justification ya picha na siyo maneno maneno, hatuko kwenye kikao Cha kitchen part hapa.
 
Hamna, Arusha kuna hoteli nyingi zaidi na zina hadhi tofauti tofauti kutokana na aina ya wageni wanaofika....si kama Mwanza. Mwanza utasikia hoteli ya kitalii lakini ukiingia hutaona tofauti na hoteli zingine, zaidi ya kuwa bei ni ghali... lakini kwa Arusha ni tofauti. ARUSHA kuna hoteli zenye hadhi ya kidiplomasia za kimataifa kama vile Mount Meru Hotel ambayo hadhi yake ni kama Kilimanjaro/Kempinsky ya Dar es Salaam.
Tumekuambia hotel za maana hapo ni mount Meru, Gran MELIA na kibo palace, Hawa akina parrot hotel ni WA kawaida sana usichanganywe na urefu wa jengo.
 
Wasikuchanganye mkuu Kuna vitu vinahitaji justification ya picha na siyo maneno maneno, hatuko kwenye kikao Cha kitchen part hapa.
Hawana tofaut na wakenya waongo na propaganda za kujikweza kwenye vitu ambavyo hawana uwezo navyo.
 
Back
Top Bottom