Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ulichopost ew unakisoma au mbona hakionekan
Hiko hapo
Screenshot_20230419-215349.jpg
 
Hii battle ife jamani miji na majiji yote ya Tanzania ni mazuri na yote ni ya kwetu. Tuwekeni utanzania mbele.
 
Battle Haina vitu shindanishi imekosa Radha zaidi ya maneno maneno tu.
Mm binafs napendekeza hivo Bora kubattle na nchi jirani
Sisi tunakosa Mirad Kwa kusifia ujinga muda meingine mm from now Niko radhi nitukanwe ila naongolea changamoto za mkoa wangu viongoz waone
 
Umepatwa na nini leo
Binafsi spend hizi battle za mikoa ya ndani ila inanilazimu maana asili ya watu wa Arusha ujuaji mwingi sana but spend mm napenda kuongelea changamoto za Jiji langu

Haya fikiria zile km za barabara mlopewa unashangalia kweli ukiwa fit kiakili lazima uumie Jiji mnapewa km 30 si unyama kabisa maana km chache Kam hizo wapaswa kupewa wilayani kujenga street roads na sio barabara za Jiji

Serikali wajitafakari aiseee HALAFU Kuna wazee hawataki kustafu wakat mawazo Yao mfu na ya kizamani mtu unaamua TU Leo MWANZA tuwape km 30 kwanza at MWANZA hujawahi fika tangu uzaliwe upo TU dar,, si Bora wawe wanazunguka majiji kwanza HALAFU ndo wanapanga bajet na sio wakiamuka wanakunywa chai zen wanaropoka,,
 
Haha hi ni kweli bro Yani pia mi ningependekeza Barabara za ndani ya Jiji ziwe ni miradi ya kimkoa Yani mapato ya mikoa itenge fungu kwa Ajili ya barabara za ndani na mambo mengine yahusuyo mikoa na hizi kubwa ndo zihusishwe serikali...napia serikali iache upendeleo na kama ikipendelea iangalie na fursa za mkoa ..Mfano dodoma sijui Kuna kipi hasa Cha mana serikali inatumia pesa kubwa kuwekeza kule ..ilihali majiji kama Mwanza ,Arusha ,mbeya na Tanga haya Yana natural resources kama madini , utalii ,bandari n.k haya yanaweza yakiwekezwa yanaweza kuliletea taifa faida kubwa rather than dodoma
 
Yaan acha TU kama unafatilia dodoma utagundua serikali ni ya Kishamba mno tena Ina ukale mwingi
Ukizeeka ubishi wa kushindana Kwa kujivunia majiji wakati Kuna ujinga mwingi tunaficha utajua serikali inatabia ya kulazimisha Jiji moja like potential for nothing just imagine dodoma Kuna Fursa gan kuzid MBEYA ambayo imepakana na SADC Ina vivutio safi vya milima na ardhi nzuri Kwa kilimo kwanini wasifungue milango wawekezaji waje,,

Mwanza Jiji langu Mimi ila Kenyatta road ambayo ndo shingo ya Jiji lakin ni vituko tena vituko kweli,,hizo Barabara za mitaa nyegezi ukiwa na gari umembeba mgonjwa aliyefanyiw operation nakuhakikishia nyuzi zitaachia na kupoteza maisha maana zimejaa mahandaki na mbuge yupo anakenua meno TU na kupongeza uduvi,,very ashamed, mwanza Kuna Fursa haswa uvuvi,gold pia ni centre ya afrika mashariki lakin at airport inajengwa kama wamelazimishwa hii yote ni wivu et mwanza itakuwa bize kulko dar this is stupid mind kabisa Kwan Pato likipatkana si linajenga Tanzania,

Arusha napo Barabara nyingi ni hovyo huku serikali inaongelea ooh tuna mbuga ngongoro na mlima Kilimanjaro unaingiza Pato kubwa je miundo mbinu ikoje Kwa Arusha huu ni ushamba Kwa serikali now Iko bize kujenga dodoma ambapo at vivutio au fursa yoyote hamna ila imekaza fuvu Kila miradi mizito na Barabara za kiwango ni Dom na dsm

Walah tumelogwa sio Bure hii nchi inahitaji vijana patriotic na sio Hawa wazee at exposure hawana kabisa wanapanga hovyo tu

Miundo mbinu ikiboreshwa kwenye haya majiji wawekezaji watakuja TU coz yana fursa na mishemishe zinaonekana

Naomba kuwasilisha

T
 
Ase kumbe we Amna unachojua bora unyamaze kimya ... Mathiasi Manga ambaye anahotel ya gold crest huko kwenu wasukuma ni muarusha
Mtu akiwa HR tayari ni mmiliki na sasa katolewa kuna mkenya haya Gold crest ni ya wakenya.
 
Yaan acha TU kama unafatilia dodoma utagundua serikali ni ya Kishamba mno tena Ina ukale mwingi
Ukizeeka ubishi wa kushindana Kwa kujivunia majiji wakati Kuna ujinga mwingi tunaficha utajua serikali inatabia ya kulazimisha Jiji moja like potential for nothing just imagine dodoma Kuna Fursa gan kuzid MBEYA ambayo imepakana na SADC Ina vivutio safi vya milima na ardhi nzuri Kwa kilimo kwanini wasifungue milango wawekezaji waje,,

Mwanza Jiji langu Mimi ila Kenyatta road ambayo ndo shingo ya Jiji lakin ni vituko tena vituko kweli,,hizo Barabara za mitaa nyegezi ukiwa na gari umembeba mgonjwa aliyefanyiw operation nakuhakikishia nyuzi zitaachia na kupoteza maisha maana zimejaa mahandaki na mbuge yupo anakenua meno TU na kupongeza uduvi,,very ashamed, mwanza Kuna Fursa haswa uvuvi,gold pia ni centre ya afrika mashariki lakin at airport inajengwa kama wamelazimishwa hii yote ni wivu et mwanza itakuwa bize kulko dar this is stupid mind kabisa Kwan Pato likipatkana si linajenga Tanzania,

Arusha napo Barabara nyingi ni hovyo huku serikali inaongelea ooh tuna mbuga ngongoro na mlima Kilimanjaro unaingiza Pato kubwa je miundo mbinu ikoje Kwa Arusha huu ni ushamba Kwa serikali now Iko bize kujenga dodoma ambapo at vivutio au fursa yoyote hamna ila imekaza fuvu Kila miradi mizito na Barabara za kiwango ni Dom na dsm

Walah tumelogwa sio Bure hii nchi inahitaji vijana patriotic na sio Hawa wazee at exposure hawana kabisa wanapanga hovyo tu

Miundo mbinu ikiboreshwa kwenye haya majiji wawekezaji watakuja TU coz yana fursa na mishemishe zinaonekana

Naomba kuwasilisha

T
Umeongea point sana, hii Tanzania serikali inaangalia Dodoma na Dar tu
 
Mm binafs napendekeza hivo Bora kubattle na nchi jirani
Sisi tunakosa Mirad Kwa kusifia ujinga muda meingine mm from now Niko radhi nitukanwe ila naongolea changamoto za mkoa wangu viongoz waone
Me nilishapunguza naona tunaposifu ndio serikali inatukazia zaidi na hatupati miradi kumbe hatuna barabra za uhakika hasa Nyamagana.
 
Se
Binafsi spend hizi battle za mikoa ya ndani ila inanilazimu maana asili ya watu wa Arusha ujuaji mwingi sana but spend mm napenda kuongelea changamoto za Jiji langu

Haya fikiria zile km za barabara mlopewa unashangalia kweli ukiwa fit kiakili lazima uumie Jiji mnapewa km 30 si unyama kabisa maana km chache Kam hizo wapaswa kupewa wilayani kujenga street roads na sio barabara za Jiji

Serikali wajitafakari aiseee HALAFU Kuna wazee hawataki kustafu wakat mawazo Yao mfu na ya kizamani mtu unaamua TU Leo MWANZA tuwape km 30 kwanza at MWANZA hujawahi fika tangu uzaliwe upo TU dar,, si Bora wawe wanazunguka majiji kwanza HALAFU ndo wanapanga bajet na sio wakiamuka wanakunywa chai zen wanaropoka,,
Serikali ya hovyo na kibaguzi sana hii
 
Back
Top Bottom