Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unatia aibu,hivi Kuna u [emoji91][emoji91] gani hapa? [emoji16][emoji16]
Tukia kijana rudi kule kwenye uzi wako wa mbeya sio jiji ukatoe elimu kwa wana mbeya wenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_5687.jpg
 
Unaleta picha za old Mwanjelwa [emoji38][emoji38]

Ona Mwanza huku ni Airport background kumejaa mabanda na ma slums everywhere where [emoji2957][emoji12]
Wivu utakuua wewe kada masikini [emoji3][emoji3]

Kumbe kweli hapo ni mbeya sio kwa vumbi hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wivu gani,Mwanza ni hovyo na slum Mji mzima,Mbeya Haina huo ujinga slums ni kwenye specific areas.
 
Hakuna investor atakuja kuwekeza pesa zake kwenye huo ujinga na wewe,itaishia kuwa Gusest.
Naona una wivu na hilo dude sasa ngoja nikuambie, hilo dude haliendelezwi na serikali kwasasa limepata investor mkubwa sana na mwenye uzoefu wa kuendesha hotel kubwa za nyota tano, pia hilo jengo litaenda sambamba na ufunguzi wa Mwanza international airport, tuna imani hiyo hotel itafanya kazi vizuri na itapata wateja na watalii kutoka sehemu mbalimbali.....
 
Hana jina? 🤪🤪
 
Back
Top Bottom