Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Baada ya Jana kupigwa za uso .. admin kaaamua kuwafariji [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanza mumeachwa mbali sana na Arusha kwenye swala la miradi ya uwekezaji, yaani Kila sehemu mnapigwa za uso 😆😆
20230701_082438.jpg


Arusha miradi 3
Mwanza 0
 
Mwanza mumeachwa mbali sana na Arusha kwenye swala la miradi ya uwekezaji, yaani Kila sehemu mnapigwa za uso [emoji38][emoji38]View attachment 2675002

Arusha miradi 3
Mwanza 0
Baseless argument.....
Specify miradi maana hata mashamba nayo ni miradi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mwisho annual figure ndio hutoa majibu kamili.. mwezi February mwanza tulikuwa na miradi minne Arusha mradi mmoja hukuona [emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Hahah alafu walivo washamba wanasema Mwanza inajengwa na private sector..kumbe hata Chuga private sector tumewakimbiza
Kwamba hizo figure zimetoka za private sector... look at this mad [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwamba hizo figure zimetoka za private sector... look at this mad [emoji15][emoji15][emoji15]
Kwa hiyo hizi ni za public sector au? 😆😆😆
Diwani wa mkolani vipi mbona fyuzi zinacheza?
 
Back
Top Bottom