Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

kama zipi? hiyo Bombardier inatua Arusha tena frequency nyingi zaidi!
Kama hiz
1689763431106.jpg
1689763502969.jpg
 
Yani Arusha jiji kubwa jamani ..tangu tupate uhuru Mwanza imetembelewa na Marais wangapi wa nje ya nchi?![emoji23][emoji1787]
Screenshot_20230719-124807.jpg
 
Nani kakwambia miradi ya Magufuli? Ni miradi iloyitekwerezwa kipindi cha utawala wake! Alikuwa nauwezo wa kuleta figisu hata Ngorongoro Tower isijengwe! Hata hiyo PAPU kama angekuwa na chuki angewakatalia kujenga wakaenda kujengwa kwingine! Wewe haujui kuwa ardhi ya Tanzania kwa sheria ya sasa iko chini ya Rais kwa hiyo Rais akiamaua anaweza kuleta figisu! Punguzeni chuki zenu!
Fikeni level hizi za Arusha ndio mje kujitutumua kwanza
Screenshot_20230721-202842.jpg
20220902_093737.jpg
20230505_161855.jpg
JamiiForums-895146374.jpg
Screenshot 2023-07-09 at 12.40.22.png
1688127394127.jpg
20230705_120041.jpg
20230705_120036.jpg
 
We jamaa nakukubaligi hapo tu dom vs arusha upo upande wa dom ikija arusha vs mwanza upo upande wa arusha 😀😀😀
Kumbe na wewe unashangaa unafiki wa jamaa, basi shangaa na hii👇👇
Screenshot_20230519-105857_1684483191924.jpg
Screenshot_20230416-165656_1681653455881.jpg
 
Back
Top Bottom