ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wivu 🤣🤣🤣🤣Jengo kama kopo la pafyum
Ukiona Mwanza hapa chini ni tag 😁😁
View: https://www.instagram.com/p/CwuV8P5ocvj/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu 🤣🤣🤣🤣Jengo kama kopo la pafyum
Wewe nawe unahangaikaga bure bila sababu! Hiyo dolla 16 milion ni bilioni kama 40 tu! Zina kuzuzua kweli! Mwanza ina nyanzaga project sio chini ya trilion 3! Na juzi wamewalipia fidia wananchi wa maeneo ya mgodi zaidi ya bilion 52!Kwa jinsi Jamaa wa Mwanza walivyo na wivu na hicho kiwanda Cha bil.40 huko Arusha watalaumu Serikali 🤣🤣View attachment 2741972View attachment 2741973
Mgodi ni kiwanda? Huo mgodi ni Mali ya mzungu na hizo habari Toka 2021 ni stori tuu tunaenda 2024 hamna kitu.Wewe nawe unahangaikaga bure bila sababu! Hiyo dolla 16 milion ni bilioni kama 40 tu! Zina kuzuzua kweli! Mwanza ina nyanzaga project sio chini ya trilion 3! Na juzi wamewalipia fidia wananchi wa maeneo ya mgodi zaidi ya bilion 52!
Huo mgodi 60% ni wazawa acha kudanganya watu wewe! Naomba ukae kwa kutumia tena ni Madong wa Mwanza hapa hapa!Mgodi ni kiwanda? Huo mgodi ni Mali ya mzungu na hizo habari Toka 2021 ni stori tuu tunaenda 2024 hamna kitu.
Sawa na zile stori za viwanda vya kusafisha dhahabu ,Kiko wapi Sasa 😁😁
Usizunguke saana kuwapaka mafuta,nyoosha maelezo tuu kwamba Mwanza ni Mji wa watu maskini na WA kishamba full stop 😁😁mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi kusema Mwanza biashara ya magari ipo.. mzunguko wa fedha bado mdogo... ila biashara za kawaida kama za uvuvi samaki unazifuata visiwani na kupeleka mikoani, uuzaji wa nguo hasa misimu ambayo vyuo vimefunguliwa, biashara za simu, zinalipa na hizi ni za kawaida!! ila kwa arusha wao ni wazee wa kutumia noti nyekundu tuu,, biashara zao ni kubwa ni sawa na dsm...
Labda uliishia Mwanza ya Ukerewe😀😀😀mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi kusema Mwanza biashara ya magari ipo.. mzunguko wa fedha bado mdogo... ila biashara za kawaida kama za uvuvi samaki unazifuata visiwani na kupeleka mikoani, uuzaji wa nguo hasa misimu ambayo vyuo vimefunguliwa, biashara za simu, zinalipa na hizi ni za kawaida!! ila kwa arusha wao ni wazee wa kutumia noti nyekundu tuu,, biashara zao ni kubwa ni sawa na dsm...
Shida watu wa Mwanza hata mfanyiwe nini mnakuaga tu na mentality kwamba mnaonewa... we jiulize watu wa arusha tunavousifiaga mji wetu lakini ukienda hatujafanyiwa chochote hatuna soko wala stendi nyie mna kila kitu mna hadi stendi mbili bado mnalalamikaga tu 😂😂 yani arusha tungekua tuna hata nusu ya vitu mlivonavyo nyie tungekua tunawaambia hakuna mji Duniani kama atown ungekuta sasa hivi tuna battle ya atown vs newyork..ni mentality yetu ndio inasababisha muone kama tunapendelewa lakini in reality kwa miundombinu arusha tuko nyuma sana ila hela ipo😀 😀 😀 😀
🔨🔨🔨🔨 Kinachowaponza ni kukataa ukweli 🤣🤣Labda uliishia Mwanza ya Ukerewe😀😀😀
Akili za maskini na Watoto Yatima.Arusha hakuna Cha stand Wala masoko makubwa kama.Mqanza yet wanaona wametengwa. 😁😁Shida watu wa Mwanza hata mfanyiwe nini mnakuaga tu na mentality kwamba mnaonewa... we jiulize watu wa arusha tunavousifiaga mji wetu lakini ukienda hatujafanyiwa chochote hatuna soko wala stendi nyie mna kila kitu mna hadi stendi mbili bado mnalalamikaga tu 😂😂 yani arusha tungekua tuna hata nusu ya vitu mlivonavyo nyie tungekua tunawaambia hakuna mji Duniani kama atown ungekuta sasa hivi tuna battle ya atown vs newyork..ni mentality yetu ndio inasababisha muone kama tunapendelewa lakini in reality kwa miundombinu arusha tuko nyuma sana ila hela ipo
Labda hao 60% ndio Manamba wa Mwanza ,eti wamiliki nyoo zenu labda sio Tanzania hii.Huo mgodi 60% ni wazawa acha kudanganya watu wewe! Naomba ukae kwa kutumia tena ni Madong wa Mwanza hapa hapa!
Mi nawashangaaga sana hawa watu ngoja waje kina kitombile na Mikde 😂😂Akili za maskini na Watoto Yatima.Arusha hakuna Cha stand Wala masoko makubwa kama.Mqanza yet wanaona wametengwa. 😁😁
Endelewni kujifariji, mnatumia nguvu kubwa sana kujitetea, haya nje ya watalii wa kizungu kuna nini cha ziada hapo arusha,nje ya Dar kuna jiji gani lililochangamka kuliko Mwanza, ukija Mwanza kila mtaa wana showroom, na magari ya kiwango unayaoaya kwa bei rahisi hata kuliko Dar.... Hiyo mwanza uliyoielezea labda ni mwanza ya ungalimited.mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi kusema Mwanza biashara ya magari ipo.. mzunguko wa fedha bado mdogo... ila biashara za kawaida kama za uvuvi samaki unazifuata visiwani na kupeleka mikoani, uuzaji wa nguo hasa misimu ambayo vyuo vimefunguliwa, biashara za simu, zinalipa na hizi ni za kawaida!! ila kwa arusha wao ni wazee wa kutumia noti nyekundu tuu,, biashara zao ni kubwa ni sawa na dsm...
Tulia we mtoto wa juzi hiyo arusha kailinganishe na kamachumu huko bukoba.Mi nawashangaaga sana hawa watu ngoja waje kina kitombile na Mikde 😂😂