Sema sasa kama hujuagi upande wa serengeti kutokea arusha ndio huwa favorite kwa watalii ndio upande wenye wanyama wengi kunakitu kinaitwa ngorongoro serengeti ecosystem istoshe ukipitia njia ya arusha unabenefit ya kupita tarangire manyara na ngorongoro yenyewe lakini tena kuna airport 🛫 ya lake manyara pale karatu only 50kms hadi serengeti main gate inaboreshwa na inafungwa taa ndege kutua usiku
Kwahiyo ndugu zangu wa mwanza walichelewa sana kupata International Airport wanakuja kupata kipindi dodoma iko on fire 🔥 kipindi uwanja wa arusha na kia umeboreshwa lakin mbaya zaid uwanja wa musoma uko kwenye ujenzi na pale ndio karibu zaidi mwanza walikua na bahati ya kuwa mji wa pili kwa ukubwa tangu miaka ya 70 wangeitumia vizuri hyo chance wangekua mbali sana leo miji ya juzi kama dodoma na arusha inawatimulia vumbi ni huruma kwa kwel