ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwambie huyo jamaa mwanza ni Jiji aisee kabla sijatoka mwanza nilipita siku Moja Barabara ya airport mida ya jioni eneo la Ghana karibu na junction ya bwiru aiseeeee mwanza sio level za Arusha au Dodoma π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π
πππππππ€ͺπ€ͺπ€ͺππNimekaa hapa nikikuzoom huku nakucheka tuππππππ, Mwanza inapaa ndugu sina maneno mengi siku hizi naona sio fair kuipambanisha Mwanza na miji calibre ya arusha, kwasasa tunataka battle na miji kama Kampalana Mombasa tukitoka hapo tucheze mechi ya kirafiki na wakina Dar na Kigali.
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1837007879091404926?t=4Lvjqax2miH-iweH78R3bw&s=19
My Take: Arusha ni baba yenu siku zote.ππ
View: https://x.com/WizarayaUC/status/1837147235559047322?t=NTIm8IMBP4x4_jiJC6TF5g&s=19