Battle of sexes (Ushindani wa jinsia) – Wanaume kwa wanawake.

Battle of sexes (Ushindani wa jinsia) – Wanaume kwa wanawake.

wanaume wasiopendwa kupigwa mizingwa wapigwe hadi..............

Heaven my dear ha ha ha...mimi huna haja ya kunipiga mzinga. Mwanaume anayejitambua humgharamia mwanamke wake. Ndivo nilivolelewa. Hakuna haja ya mizinga, na-clear kama sina akili nzuri vile.
 
Wanawake akili zao fupi kama maisha ya funza katoka kwenye ibada muda mfupi yupo vchocholon anatongozwa uku aking'ata kucha na kun'goa majan, jion yupo kwa msela analiwa SUKARI....EXCEPT My wyfe

Hakuna cha expect wala nini.......

Wanaume wanaojishtukia na wasio na msimamo wanachosha saana.........
 
heaven my dear ha ha ha...mimi huna haja ya kunipiga mzinga. Mwanaume anayejitambua humgharamia mwanamke wake. Ndivo nilivolelewa. Hakuna haja ya mizinga, na-clear kama sina akili nzuri vile.

am kidding bana........hii imekaa kicht chat ujuee
 
Huu ni mchezo mpya kabisa hapa ambao I just dreamed up. Mchezo wenyewe ni wa kusema kitu chochote kwa jinsia nyingine (Opposite sex)

Kama wewe ni mwanaume, unaanza kwa kuandika neno “Mwanamke”
Kama wewe ni mwanamke, unaanza kwa kuandika neno “Mwanaume”

Ukianza, Neno mybe Mwanamke unaendelea kuandika maelezo yanayo husu jinsia hiyo vitu vinavyo wahusu maisha yao ya kila siku hasa tabia zao.
Kumbuka, unatakiwa kusema kitu chochote funny kinacho muhusu jinsia nyingine

Mifano yangu,

1.Mwanamke- ni kama maji ya kunywa, ukinywa unatoa kiu yako
2.Mwanamke- anachukuwa zaidi ya lisaa limoja kuvaa nguo asubuhi

wanawake wavivu wa kujifulia hata nguo za nd...ni wanakuwa wengi daily
 
Mwanaume asiehonga
fartinface.gif
hutumia dume
 
Mwanaume wa kukatalia kwenye dressing table anainamishwa.
 
Mwanamke anayelalamikia kibamia .nikijaza upepo mashine> analia Inauma Ni Takataka kabisa
 
Mwanaume anaekojoa kitandani ni mbwiga.
 
Back
Top Bottom