Mwanaume Bahili anyongwe hadi Kufa...........
wanaume wasiopendwa kupigwa mizingwa wapigwe hadi..............
Wanawake akili zao fupi kama maisha ya funza katoka kwenye ibada muda mfupi yupo vchocholon anatongozwa uku aking'ata kucha na kun'goa majan, jion yupo kwa msela analiwa SUKARI....EXCEPT My wyfe
wanaume wasiopendwa kupigwa mizingwa wapigwe hadi..............
heaven my dear ha ha ha...mimi huna haja ya kunipiga mzinga. Mwanaume anayejitambua humgharamia mwanamke wake. Ndivo nilivolelewa. Hakuna haja ya mizinga, na-clear kama sina akili nzuri vile.
Huu ni mchezo mpya kabisa hapa ambao I just dreamed up. Mchezo wenyewe ni wa kusema kitu chochote kwa jinsia nyingine (Opposite sex)
Kama wewe ni mwanaume, unaanza kwa kuandika neno Mwanamke
Kama wewe ni mwanamke, unaanza kwa kuandika neno Mwanaume
Ukianza, Neno mybe Mwanamke unaendelea kuandika maelezo yanayo husu jinsia hiyo vitu vinavyo wahusu maisha yao ya kila siku hasa tabia zao.
Kumbuka, unatakiwa kusema kitu chochote funny kinacho muhusu jinsia nyingine
Mifano yangu,
1.Mwanamke- ni kama maji ya kunywa, ukinywa unatoa kiu yako
2.Mwanamke- anachukuwa zaidi ya lisaa limoja kuvaa nguo asubuhi
mwanamke selfish apigwe mtungo hadi.....
wanawake warembo wa asili wanapungua daily
wanawake wavivu wa kujifulia hata nguo za nd...ni wanakuwa wengi daily
Wapigwe hadi tuwatoe roho
Wanaume wanajipodoa wanakera mno
hutumia dumeMwanaume asiehonga
mwanamke anayejichubua ni shangingi tu!mwanaume anaepaka CAROLIGHT apelekwe Milembe
Mwanaume anaevaa boxer yake wiki nzima anaboa
mwanamke anayetoa KABANG ajiandae kuvaa pampasmwanaume anaeinamishwa na mwanaume mwenzie ni khasara kwa taifa.......
Wanaume wanajipodoa wanakera mno