Battle of sexes (Ushindani wa jinsia) – Wanaume kwa wanawake.

Mwanamke asiye jua kuchacharika mpaka aongwe, huyo ajiamini.
 
Mwanamke halisi lazima awe walau kidogo ana vielement vya Mcharuko , Umbea , Upashkuna , Kutojiamini, Uzabizabina , Kiherehere, Ushan'kupe , Mashauzi.
 
mwanaume-anayevaa singlend moja wk nzima nahaogi ni janga
mwanaume-asiyemsaidia mkewe kazi za nyumbani anaitaji maombi
mwanaume-asiyejishuhulisha ni.....
mwanaume-anayeacha mkewe ndani na kutoka nje ni mbwa
wanaume -wote wangekuwa kama mume wangu kiwatengu ndoa zisingevunjika
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ukiona manyoya...........

ujue kanyonyolewa,afu hata hii mikao yao siielewi mwenyekiti si mara ya kwanza ujue mi nanyamaza tu
usimwambie mi naendelea kuangalia tu
 
mi nimefata mkumbo tu ila nahisi huyu mtoa mada sijui ni sweet sixteen
Mwanamke jiangalie mimi siyo sweet sixteen. Wewe unanifahamu sana ila mimi sikufahamu. Au nikutajie mimi ni nani katika nchi hii yako.
 
ujue kanyonyolewa,afu hata hii mikao yao siielewi mwenyekiti si mara ya kwanza ujue mi nanyamaza tu
usimwambie mi naendelea kuangalia tu

Mwanamke tafakari na chukua hatua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…