Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo shunie
nawapenda wote.. mmoja ni dada yangu mwingine nampenda sana na namtaka sema ananipiga dana dana
Hahaha hahahaHahahaha umemmiss aunty yako eenh
Nipo hapa mdogo wanguu... Familia hiyo vipi?! Au mlisubiri niondoke kwanza
ShkamooWote wadogo zangu hao
Hahaha hahaha
Nimeona nikazie tuu hapo, labda mzee baba atasema shida iko wapi
Aaaahh, niwaulize nyie apo!.@BonnyHahahaha nacheka mm mbona familia
Shikamoo kakaWote wadogo zangu hao
Aaaahh, niwaulize nyie apo!.@Bonny
Siku hizi mko na familia!
Hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ujue utafanya aleft hapa mzee baba mwaka mpya unaanza kama nimemkosea niombe msamaha sitaki vinyongo
Ndg yangu Shadeeya naona uwepo wako kwa mbali ujue
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Familia mm si mdogo wake ujue we ni mwehu
Ngoja akuje nimeona nyayo zakeHahaha hahaha
Hawezi kuleft... Akikusamehe na mie niombee msamaha!
Msalimie ndugu yako@Shadeeya
Hahaha hahaha
Mbavu zangu jamani! Sawa wanafamilia eeehhh
Poa mzee wa totoz nyeupe mzima wewe
Mi mzima,hofu kwako
PoaNgoja akuje nimeona nyayo zake