Battle: Shunie Vs Mzigua90

Battle: Shunie Vs Mzigua90

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ujue utafanya aleft hapa mzee baba mwaka mpya unaanza kama nimemkosea niombe msamaha sitaki vinyongo

Ndg yangu Shadeeya naona uwepo wako kwa mbali ujue
Hahaha hahaha
Hawezi kuleft... Akikusamehe na mie niombee msamaha!

Msalimie ndugu yako@Shadeeya
 
Back
Top Bottom