Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika ukweli. Kimaendeleo sinza ipo mbali zaidi ya kinondoni ila kwa business zinaweza kuwa zinalingana.Sinza ipo juu,Sinza hakuna maeneo ya uswahilini,ila kinondoni yamejaa tele,watu wasomi na wastaarabu wapo sinza,barabara nzuri,mpangilio safi wa safu za nyumba na majengo upo sinza...
Kinondoni imeharibiwa na wenyeji ambao mpaka leo bado wapo.Sinza ipo juu,Sinza hakuna maeneo ya uswahilini,ila kinondoni yamejaa tele,watu wasomi na wastaarabu wapo Sinza, barabara nzuri, mpangilio safi wa safu za nyumba na majengo upo sinza,huduma za jamii,maeneo ya burudani ni ya kutosha.
Kinondoni vichochoro vingi, uhuni na usela umetawala,wasomi ni wachache,vijana wamewekeza kwenye dili haramu hivyo wengi shule haipo vichwani, wala ngada na bangi lukuki. Kino viwanja vya starehe vipo vingi japo ulinzi wa mali ni mdogo, unaweza kumwagilia moyo huku nje ukakukuta ndinga yako imesepa, kiuchumi haya maeneo yote biashara ipo,upangishaji wa fremu,nyumba na vyumba vya kupangisha upo juu sana.
Ila km ndio mgeni umetoka Mbwinde umekuja mjini kutafuta life nitakushauri upange chumba/nyumba sinza badala ya Kinondoni.
Upo sahihi,Sinza kama si mwenyeji kuuza basi amepangisha ,wengi wamehamia (wamejenga) maeneo ya nje ya mji huku sinza wakipangisha na kupata kipatoKinondoni imeharibiwa na wenyeji ambao mpaka leo bado wapo.
Sinza wenyeji baada ya kuuza viwanja vyao enzi hizo wote walisepa na kuwaachia wageni watawale.
Laiti kama Kino nao wangefanya hivyo toka awali, basi leo hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo na hasa ukizingatia ipo karibu na mjini.Upo sahihi,Sinza kama si mwenyeji kuuza basi amepangisha ,wengi wamehamia (wamejenga) maeneo ya nje ya mji huku sinza wakipangisha na kupata kipato
Sinza ni uzunguni iliyojengwa pembeni ya uzunguni.Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya.
Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam.
SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika wilaya ya Ubungo na ni miongoni mwa maeneo yenye starehe nyingi na kubwa hapa Dar es salaam. Sinza inaongoza kuwa na baa nyingi kiasi kwamba inakisiwa kuwa kila katika nyumba tatu basi moja ni baa. Lakini vile vile Sinza inaongoza kuwa na madada poa wengi wanaojiuza hovyo barabarani.
Pia Sinza ipo vizuri kibiashara maana kuna watu hutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa Dar es salaam huja Sinza kutembea na wengine kula bata. Ndo maana kuna sehem panaitwa Sinza madukani. Yani maduka kibao na bado watu wanauza deile.
Kuhusu watu na maendeleo Sinza ina mchanganyiko wa watu wa vipato tofauti. Kuna wa vipato vya juu, kati na vya chini. Na imeendelea kimtindo, kuna viji sahanati vya mitaani, barabara za mitaani japo baadhi kwa sasa zimeshakuwi hazifai, na huduma zingine za kijamii. Sinza mijengo mingi mizuri ila ni ya kizamani.
Nyumba za ibada misikiti na makanisa pia zipo.
KINONDONI ambayo inatambulika kuwa kwa watukutu, kama jina lake linavyojieleza yenyewe ipo katika wilaya ya Kinondoni, pia ni miongoni mwa maeneo yenye starehe nyingi na kubwa pia hapa Dar es salaam. Kinondoni pia ina baa nyingi, na inaongoza kwa kuwa na kumbi mbali mbali za starehe kiasi kwamba kuna baadhi ya maeneo watu huwa hawalali kutokana na sauti kubwa za miziki kutoka katika kumbi hizo. Vilevile Kinondoni kuna madada poa wakumwaga tu kiasi kwamba kila mtu ana urahisi wa kusafisha 'bunduki' kwa buku tu.
Kibiashara nayo Kinondoni haipo nyuma, maduka ya kumwaga kiasi ya kwamba mtu hauwezi jua uingie duka gani.
Kuhusu watu na maendeleo Kinondoni pia ina mchanganyiko wa watu wa vipato tofauti. Kuna wa vipato vya juu, vya kati na vya chini. Pia kuhusu maendeleo imeendelea kimtindo, kuna zahanati nyingi, barabara za mitaani na huduma nyingine za kijamii. Pia Kinondoni ina majumba mazuri mazuri na zilizochoka ni chache sana. Nyumba za ibada misikiti na makanisa zipo kadhaa.
Sasa ndugu mwanaJF ukiambiwa uchague wapi pa kwenda kuishi utachagua wapi?
Nachagua kuishi mpakani mwa sinza na kinondoniKwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sinza watu hawaogi maji hakuna
magomeni kuna watu wameoza wananuka mavi
Ya Kinondoni ndio iliyokuwa sehem ya kupangia mipango ya safari na watu wakaondoka.Kinondoni ndiyo ilikuwa roho ya dar
Mipango yote,kinondoni
Zamani mipango ya watu kutaka kusafiri lazima uje kinondoni uipate
Kinondoni ndiyo ilikuwa kwa mhustlers ,ikifuatiwa na ilala
Mabaharia wengi walitokea kino
Sasa sijajua nyie vijana,watoto wa sahv mnashindana kwa lipi
Maana ukiniuliza mm sahv vijana wengi sinza tbt nk nawaona samjo
Tu ushg mwingiii tu umetawala....
Ova