kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
Uko sahihi wengi watoto wa mipango zamani walikuwa wanatoka kino ,migo, ilala , manzese, k Koo ,ila wakitusua wengi wao waliamia sinzaKinondoni ndiyo ilikuwa roho ya dar
Mipango yote,kinondoni
Zamani mipango ya watu kutaka kusafiri lazima uje kinondoni uipate
Kinondoni ndiyo ilikuwa kwa mhustlers ,ikifuatiwa na ilala
Mabaharia wengi walitokea kino
Sasa sijajua nyie vijana,watoto wa sahv mnashindana kwa lipi
Maana ukiniuliza mm sahv vijana wengi sinza tbt nk nawaona samjo
Tu ushg mwingiii tu umetawala....
Ova