BATTLE: Sinza kwa wajanja & Kinondoni kwa watukutu

Sinza ipo juu,Sinza hakuna maeneo ya uswahilini,ila kinondoni yamejaa tele,watu wasomi na wastaarabu wapo Sinza, barabara nzuri, mpangilio safi wa safu za nyumba na majengo upo sinza,huduma za jamii,maeneo ya burudani ni ya kutosha.

Kinondoni vichochoro vingi, uhuni na usela umetawala,wasomi ni wachache,vijana wamewekeza kwenye dili haramu hivyo wengi shule haipo vichwani, wala ngada na bangi lukuki. Kino viwanja vya starehe vipo vingi japo ulinzi wa mali ni mdogo, unaweza kumwagilia moyo huku nje ukakukuta ndinga yako imesepa, kiuchumi haya maeneo yote biashara ipo,upangishaji wa fremu,nyumba na vyumba vya kupangisha upo juu sana.

Ila km ndio mgeni umetoka Mbwinde umekuja mjini kutafuta life nitakushauri upange chumba/nyumba sinza badala ya Kinondoni.
 
Sinza ipo juu,Sinza hakuna maeneo ya uswahilini,ila kinondoni yamejaa tele,watu wasomi na wastaarabu wapo sinza,barabara nzuri,mpangilio safi wa safu za nyumba na majengo upo sinza...
Umeandika ukweli. Kimaendeleo sinza ipo mbali zaidi ya kinondoni ila kwa business zinaweza kuwa zinalingana.
 
Kinondoni imeharibiwa na wenyeji ambao mpaka leo bado wapo.

Sinza wenyeji baada ya kuuza viwanja vyao enzi hizo wote walisepa na kuwaachia wageni watawale.
 
Sinza
- wadada wa huku kwa UTI hawajambo
- tumia ndomu

Kinondoni
- wadada wa huku kwa kumeza 'njugu' hawajambo
- tumia ndomu 2 au zaidi
 
Kinondoni imeharibiwa na wenyeji ambao mpaka leo bado wapo.

Sinza wenyeji baada ya kuuza viwanja vyao enzi hizo wote walisepa na kuwaachia wageni watawale.
Upo sahihi,Sinza kama si mwenyeji kuuza basi amepangisha ,wengi wamehamia (wamejenga) maeneo ya nje ya mji huku sinza wakipangisha na kupata kipato
 
Upo sahihi,Sinza kama si mwenyeji kuuza basi amepangisha ,wengi wamehamia (wamejenga) maeneo ya nje ya mji huku sinza wakipangisha na kupata kipato
Laiti kama Kino nao wangefanya hivyo toka awali, basi leo hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo na hasa ukizingatia ipo karibu na mjini.
 
Sinza ni uzunguni iliyojengwa pembeni ya uzunguni.
 
Nachagua kuishi mpakani mwa sinza na kinondoni
 
Kinondoni ndiyo ilikuwa roho ya dar
Mipango yote,kinondoni
Zamani mipango ya watu kutaka kusafiri lazima uje kinondoni uipate
Kinondoni ndiyo ilikuwa kwa mhustlers ,ikifuatiwa na ilala
Mabaharia wengi walitokea kino
Sasa sijajua nyie vijana,watoto wa sahv mnashindana kwa lipi
Maana ukiniuliza mm sahv vijana wengi sinza tbt nk nawaona samjo
Tu ushg mwingiii tu umetawala....

Ova
 
Ya Kinondoni ndio iliyokuwa sehem ya kupangia mipango ya safari na watu wakaondoka.
Sinza ndio iliyokuwa sehem ya kufikia hao wanaotoka safari na kutumia pesa waliyokuja nayo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…