BATTLE: Sinza kwa wajanja & Kinondoni kwa watukutu

Uko sahihi wengi watoto wa mipango zamani walikuwa wanatoka kino ,migo, ilala , manzese, k Koo ,ila wakitusua wengi wao waliamia sinza
 
Ya Kinondoni ndio iliyokuwa sehem ya kupangia mipango ya safari na watu wakaondoka.
Sinza ndio iliyokuwa sehem ya kufikia hao wanaotoka safari na kutumia pesa waliyokuja nayo yote.
πŸ‘†
Uko sahihi wengi watoto wa mipango zamani walikuwa wanatoka kino ,migo, ilala , manzese, k Koo ,ila wakitusua wengi wao waliamia sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…