Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Naam
Kumekua na mwendelezo wa kutafuta haki sawa baina ya wanaume na wanawake!
Hapa JF wamepewa haki sawa.
Unadhani kwa usawa huo, nani bora hapa JF kati ya ME na KE?
Nani mwenye hoja nzito na za maana hapa JF? Nani anatawala hapa JF pamoja na kwamba haki ipo sawa?
Nyuzi nzito kwenye majukwaa mazito hutawaliwa na kina nani?
Kwangu me naona wanaume ndo wapo juu kuanzia kiidadi, kihoja nk