Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Kama mtu ni mwanaume atabaki kuwa mwanaume, hivyo hivyo kwa mwanamke. Battle ya nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wallah.......[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wengine humu wanawake lakini wana ID za kiume na vivyo hivyo kwa wanaume humu,.sasa sijui ulishafanya utafiti ndio ukaleta hili wazo lako!?
 
Tena nyie mnaoneana wivu wenyewe kwa wenyewe
Wivu wa nini Sasa ?? Kama humu namuonea mtu wivu ambaye simjui naanzajee!!! Tukikutana kwa gari sikujui nakuoneaje wivu.. Napo fanya kazi tupo wanawake kibao wanaume ni wawili tuu na maisha ni burudani...sijawahi ona tofauti kabisa... Sehemu yenye chuki lazima kuwe na chanzo!!!
 
Wewe unaofanya nao kazi utakua umewazidi wote ndo maana huoni wivu. Na ninajua Unafanya kila namna wenzio wasikuzidi.
 
Wewe unaofanya nao kazi utakua umewazidi wote ndo maana huoni wivu. Na ninajua Unafanya kila namna wenzio wasikuzidi.
Ni mtazamo wako huo. Kila mtu ako venye Mungu alivyomjaalia mkuu, ni kuridhika na hali yako ndo tunavyoishi sie
 
Eti ukiruka neno wakati unaandika... Ndo inaitwa password??
 
Ni mtazamo wako huo. Kila mtu ako venye Mungu alivyomjaalia mkuu, ni kuridhika na hali yako ndo tunavyoishi sie
Haha

Hivi kwamfano ukiona mwenzio anatongozwa sana na ww hutongozwi, huoni wivu?
 
Haha

Hivi kwamfano ukiona mwenzio anatongozwa sana na ww hutongozwi, huoni wivu?
Wivu wa nini Sasa??? Kumbe kutongozwa nayo ni sifa eeeh!!! Binafsi siwezi kuumia maana nlonae atosha kabisa!!! Halafu sio kila anaekutongoza anamaanisha wengine ni sanifu tuu!!! Mwanaume anaejitambua hawezi kukutongoza hadharani,na kama mmetongozana wawili tu kuja kutangaza nao ni ujinga mwingine!!! Nafikiri naishi na watu wastaarabu sana
 
Back
Top Bottom