Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #81
Sakayo kuwa tu mkweli... Wewe ukae mwezi mzima hujatongozwa alafu mwezio anatongozwa kila siku na watu wapya, hujisikii vibaya na wivu?Wivu wa nini Sasa??? Kumbe kutongozwa nayo ni sifa eeeh!!! Binafsi siwezi kuumia maana nlonae atosha kabisa!!! Halafu sio kila anaekutongoza anamaanisha wengine ni sanifu tuu!!! Mwanaume anaejitambua hawezi kukutongoza hadharani,na kama mmetongozana wawili tu kuja kutangaza nao ni ujinga mwingine!!! Nafikiri naishi na watu wastaarabu sana