Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Wivu wa nini Sasa??? Kumbe kutongozwa nayo ni sifa eeeh!!! Binafsi siwezi kuumia maana nlonae atosha kabisa!!! Halafu sio kila anaekutongoza anamaanisha wengine ni sanifu tuu!!! Mwanaume anaejitambua hawezi kukutongoza hadharani,na kama mmetongozana wawili tu kuja kutangaza nao ni ujinga mwingine!!! Nafikiri naishi na watu wastaarabu sana
Sakayo kuwa tu mkweli... Wewe ukae mwezi mzima hujatongozwa alafu mwezio anatongozwa kila siku na watu wapya, hujisikii vibaya na wivu?
 
Sakayo kuwa tu mkweli... Wewe ukae mwezi mzima hujatongozwa alafu mwezio anatongozwa kila siku na watu wapya, hujisikii vibaya na wivu?
Sio mwezi tu hata mwaka mzima. Hivi kama niko na mchumba au mume sasa nahitaji kutongozwa ili iweje!!!!
Halafu hamna wakati mgumu kama wa kutongozwa !!!
 
Sio mwezi tu hata mwaka mzima. Hivi kama niko na mchumba au mume sasa nahitaji kutongozwa ili iweje!!!!
Halafu hamna wakati mgumu kama wa kutongozwa !!!
Mbona nasikia mwanamke kutongozwa sana ndo prestige?
 
Back
Top Bottom