Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #61
Wanaume wa dar wana nn kwaniLabd tuwashindanish ke KE wa JF na wanaum wa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa dar wana nn kwaniLabd tuwashindanish ke KE wa JF na wanaum wa Dar
Nilikuanae mimi....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Njoo wewe fiesta ulinikimbia
Huu sasa ni ugomvi wa mawe....[emoji13] [emoji13]Labd tuwashindanish ke KE wa JF na wanaum wa Dar
Wa Dar ni janga la taifa, naunga mkono hoja.....Katika jamii imezoeleka jinsia ya kike inadai haki. Hapa jf jinsia ya kiume ndo inadai haki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama mtu ni mwanaume atabaki kuwa mwanaume, hivyo hivyo kwa mwanamke. Battle ya nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa Dar ni janga la taifa, naunga mkono hoja.....
Wallah.......[emoji12] [emoji12]Kama mtu ni mwanaume atabaki kuwa mwanaume, hivyo hivyo kwa mwanamke. Battle ya nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona swali juu ya swali??Ilianzishwa kwa ajili gani?
Naam. Ndo litapopatikana jibuMbona swali juu ya swali??
Wivu wa nini Sasa ?? Kama humu namuonea mtu wivu ambaye simjui naanzajee!!! Tukikutana kwa gari sikujui nakuoneaje wivu.. Napo fanya kazi tupo wanawake kibao wanaume ni wawili tuu na maisha ni burudani...sijawahi ona tofauti kabisa... Sehemu yenye chuki lazima kuwe na chanzo!!!Tena nyie mnaoneana wivu wenyewe kwa wenyewe
Huna kazi wewe.Naam. Ndo litapopatikana jibu
Wewe unaofanya nao kazi utakua umewazidi wote ndo maana huoni wivu. Na ninajua Unafanya kila namna wenzio wasikuzidi.Wivu wa nini Sasa ?? Kama humu namuonea mtu wivu ambaye simjui naanzajee!!! Tukikutana kwa gari sikujui nakuoneaje wivu.. Napo fanya kazi tupo wanawake kibao wanaume ni wawili tuu na maisha ni burudani...sijawahi ona tofauti kabisa... Sehemu yenye chuki lazima kuwe na chanzo!!!
Ni mtazamo wako huo. Kila mtu ako venye Mungu alivyomjaalia mkuu, ni kuridhika na hali yako ndo tunavyoishi sieWewe unaofanya nao kazi utakua umewazidi wote ndo maana huoni wivu. Na ninajua Unafanya kila namna wenzio wasikuzidi.
Huna akili nzuri ndicho nilicho gundua.Naam!
Nipe kazi bas ya kuitafuna papuchi yako
Mbwa kala mbwa...[emoji13] [emoji13]Mbona swali juu ya swali??
HahaNi mtazamo wako huo. Kila mtu ako venye Mungu alivyomjaalia mkuu, ni kuridhika na hali yako ndo tunavyoishi sie
Nilichogundua Maserati unataka kunipa kazi nzuri ya kuishughulikia papuchi yakoHuna akili nzuri ndicho nilicho gundua.
Wivu wa nini Sasa??? Kumbe kutongozwa nayo ni sifa eeeh!!! Binafsi siwezi kuumia maana nlonae atosha kabisa!!! Halafu sio kila anaekutongoza anamaanisha wengine ni sanifu tuu!!! Mwanaume anaejitambua hawezi kukutongoza hadharani,na kama mmetongozana wawili tu kuja kutangaza nao ni ujinga mwingine!!! Nafikiri naishi na watu wastaarabu sanaHaha
Hivi kwamfano ukiona mwenzio anatongozwa sana na ww hutongozwi, huoni wivu?