Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
aiseeNaam
Kumekua na mwendelezo wa kutafuta haki sawa baina ya wanaume na wanawake!
Hapa JF wamepewa haki sawa.
Unadhani kwa usawa huo, nani bora hapa JF kati ya ME na KE?
Nani mwenye hoja nzito na za maana hapa JF? Nani anatawala hapa JF pamoja na kwamba haki ipo sawa?
Nyuzi nzito kwenye majukwaa mazito hutawaliwa na kina nani?
Kwangu me naona wanaume ndo wapo juu kuanzia kiidadi, kihoja nk
Kwani nyie hamtaki pipe? Mtajila wenyewe?Pambaneni na hoja zenu nzito ila msituombe papuchi maana ndo udhaifu wenu nyie ME hapo hata kama hoja ina uzito gani unashangaa inapepea.........
Inajulikana kabisa mkuuSasa kwa hizi ID zetu utamjuaje mtu kuwa na female au male?
Lazima wakubali sisi tupo juu yaommeanza ushindani sasa?
Wajifunza nn?Najifunza.
Kura ya nini?Nitakuja kupiga kura
Kivipi mkuu?NI UJINGA KUSHNDANISHA JINSIA MBILI NI SAWA NA KUDAI HAKI SAWA KWA WOTO AU MEN EMPOWERMENT KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI
Tena ni ujinga wa kiwango cha lami alietuumba hakutuweka tukawa sawa ndomaana wao wameumbwa wakiwa na vinu na sisi tuna mitwangio sasa huo usawa wanaoutaka wao sijui wanataka na mimba tubebe kwa zamu? Hebu watusaidieNI UJINGA KUSHNDANISHA JINSIA MBILI NI SAWA NA KUDAI HAKI SAWA KWA WOTO AU MEN EMPOWERMENT KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI
Eti hatupendani au inategemea ntu na ntuAiseeh
Inategemea ntu na ntu best ndio maana nimeshangaa ujueEti hatupendani au inategemea ntu na ntu
UmeonaeeInategemea ntu na ntu best ndio maana nimeshangaa ujue
Ki ukweli kabisa wanawake hampendani na inakuwa ngumu sana kuaminiana na kusaidiana tofauti na wanaume, unaweza kukutana katika mapambano ya maisha tukajenga undugu wa kudumuInategemea ntu na ntu best ndio maana nimeshangaa ujue