Batuli aka Cleopatra
Member
- Sep 16, 2013
- 63
- 56
- Thread starter
-
- #21
Bila kumsahau Wema Sepetu na Kale Kalulu ka Kanumba.....
Wewe unamfahamu almasi tu. Uongo?
karibu sana BATULI hapa jf na bila shaka utafungua njia kwa wasanii wengine.
lakini naomba kuuliza mbona umepotea?
Alaf mmekuwa mkilalamika kuibiwa kazi zenu na tumesikia TRA wameanza kuweka sticker kwenye kazi zenu, hivi hii unafikiri inaweza kuwa suluhu ya matatizo na wizi wa kazi zenu.
Wambie mods wakuverify.
.:welcome::welcome::welcome:
Karibu sana jamvini.
Karibu ,Usipige tu picha za uchi ukatupia humu!!
Oohps samahani lakini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
karibu sana JF humu ndani utakutana na watu wa kila aina kutoka nyanja zote karibu sana.