Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Karibu sana Batuli aka Cleopatra,napenda sana uigizaji wako unajua kuuvaa uhusika.
Ukiigiza masikini unakuwa masikini hasa na ukiigiza 'mambo safi' unauvaa vizuri uhusika,nakutakia mafanikio zaidi kwenye hiyo tasnia.Pia tunashukuru kwa kuichangia JamiiForums.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
karibu sana BATULI hapa jf na bila shaka utafungua njia kwa wasanii wengine.

lakini naomba kuuliza mbona umepotea?

Alaf mmekuwa mkilalamika kuibiwa kazi zenu na tumesikia TRA wameanza kuweka sticker kwenye kazi zenu, hivi hii unafikiri inaweza kuwa suluhu ya matatizo na wizi wa kazi zenu.

Wambie mods wakuverify.
 
Last edited by a moderator:
Karibu ,Usipige tu picha za uchi ukatupia humu!!
Oohps samahani lakini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama nilivyoandika kwenye post kuu nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo.
 
karibu sana BATULI hapa jf na bila shaka utafungua njia kwa wasanii wengine.

lakini naomba kuuliza mbona umepotea?

Alaf mmekuwa mkilalamika kuibiwa kazi zenu na tumesikia TRA wameanza kuweka sticker kwenye kazi zenu, hivi hii unafikiri inaweza kuwa suluhu ya matatizo na wizi wa kazi zenu.

Wambie mods wakuverify.

Asante.

Mi nipo na kazi zangu mpya nimeziorodhesha.

Kuhusu tatizo la kuibiwa kazi, ni kweli tra wameanza kuweka stikers. Sina uhakika kama ni suluhu ya tatizo, ila inaweza kusaidia. Piracy ni tatizo pana zaidi.

Mods wameshani verify. Thx.
 
karibu sana JF humu ndani utakutana na watu wa kila aina kutoka nyanja zote karibu sana.
 
wa nigeria wanauza sana online asa kwa kupitia tv na online je amuoni kwamba nanyie mnaweza mkafanya hivo ili kutotegemea tu kuuza kazi zenu through dvd?
 
Back
Top Bottom