Batuli aka Cleopatra
Member
- Sep 16, 2013
- 63
- 56
- Thread starter
- #101
Mchunge sana huyo danganya toto
karibu sana JF
Asante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchunge sana huyo danganya toto
karibu sana JF
Ahsante sana, nimekuelewa.
Bila shaka na wewe ulinielewa.
Karibu sana mgeni, jisikie upo nyumbani.
JF ndo kwenyewe. Kuna Heaven on earth, heaven on desert . . . yaani full maraha while unachangamsha ubongo!
Avemaria nipo kwa ajili ya sala na maombi, so ukihisi uhitaji au ukifeel depressed . . . any time we nitafute wala usisite.
Haya kazi kwako mamaa!!
CC: Asnam

Nazidi kujifunza mambo ya JF.
best ngoja nitumie hapa kachance kumuomba Batuli aka Cleopatra aniunganishe kwenye hiyo sekta,si unajua naweza kuigiza muvi ila wa kunitoa alikosekana hahahaha now i can see the light here.
CC: Mentor na Mtambuzi
Avemaria niombee tafadhali haka kachance kafuate mkondo na upepo wangu loh si unajua kitaani unga hauuziki tena,airport kimenuka.......
afu sikupati vyema Mi namjua Wema na Wolper na Uwoya tu. Ngoja niku google ili nikufahamu.
Yobnesh inaasili ya Kitanzania; Kihabesh na Kisomali.
William; Le Mutuz; Le Baharia nafahamiana naye kama ninavyofahamiana na watu wengine.
Usijali. Kila mtu na umaarufu wake. Mimi si maarufu sana.
best ngoja nitumie hapa kachance kumuomba Batuli aka Cleopatra aniunganishe kwenye hiyo sekta,si unajua naweza kuigiza muvi ila wa kunitoa alikosekana hahahaha now i can see the light here.
CC: Mentor na Mtambuzi
uwe unapitia na majukwaa mengne hapa jf
Shaka ondoa besti, Batuli aka Cleopatra wala hanaga shida.
Ngoja aje niongee nae kipenzi . . . tena aanzie kukuweka kwenye position ya uhausi gelo mpaka ujambazi ili akuone unavoyawezea. LOL