Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ' Mtunis ' aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana
mvuto!

Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .

Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni kipindi cha muda mfupi na mchumba wake wa sasa ana mvuto zaidi kuliko zilipendwa wake huyo .

Akizidi kumwagia sifa mpenzi wake wa sasa ,Batuli alisema anajivunia kuwa ni mtu sahihi kwake, ni mfanyabiashara mkubwa kutoka nje na Bongo ana kampuni nyingine kubwa hivyo si mtu wa maisha duni kama wengine .

"Mtunis wapi bwana sasa hivi kwangu ? Hana mvuto na kama niliwahi kutoka naye basi kipindi kile , sasa hivi kiukweli nipo na wanaume ambaye nampenda na muda ukifika , ataniweka ndani, kila mmoja atamjua, " alisema Batuli.
 
Attachments

  • 1417844296220.jpg
    1417844296220.jpg
    52.3 KB · Views: 1,909
Mmh!! Umalaya tu , wakati wewe ndo uliachwa ukawa unajipendekeza kila siku kumpost insta, alivyokupa makavu live kuwa ameoa hataki usumbufu ndo unajishaua kumponda, wakat jamaa kashakupiga dudu sana.

Halafu kumbe na wewe huna akili? Sasa bwana ako akiwa tajir ndo nini? Nyie bongo movie ndo maana mnagongwa na kuachwa ovyo, yani mpo cheap and after money, kabisa unakaa unasifia pesa za mwenzio, we unadhan baba yako yule kusema utapewa urirhi? Kumbe na wewe ndo wale wale chizi wewe nfyuu, kombwe kama shavu la nguruwe
 
Kwani ukipata mpenzi mpya lazima umdiss wa zamani? Afu huyu atakuwa anamshobokea bado mtunis, but mtunis hamtaki. Inahusu kumkandia mwenzio et hana mvuto sijui na hela mmmmh, ulivyokuwa unajishaua naye kipindi kile hukujua kama hana mvuto au hana hela? Afu mtunis mbona ni hand wa haja tu.
We jishaue tu kama lucy komba, utasubiriwa vizuri siku ya harusi na huyo mzungu wako. Ombeni Mungu msichemke hata kitu kimoja, coz kwa unavyotafuta heshima kwa gharama, utaambulia dharau kwa bei nafuu. Kila la kheri muke ya muzungu mtarajiwa
 
Bado anamtakaa....yani katika mabwana zake woote walompitia anamkumbuka Mtunis tu? Mfyuuuuu.....
 
simple things hufurahisha tiny minds... Horrible.
Ukiona mtu ana mdiss zilipendwa, wakati zilipendwa hana mda naye jua anaye diss anaumia bado anamtaka zilipendwa.
 
huyu nae anaharibika ukubwani km boga mshenzi huyuu
cleopatra unatia aibu

Siku izi libatuli sijui linavuta bhang? Izi ni hasira za kuachwa maana jamaa alimwambia ameoa aache kuongea upuuzi kwenye mitandao, naona bibie kapanick , kala ndimu hadi zimemkinai kaamua atoe ya rohoni
 
Last edited by a moderator:
Kwani ukipata mpenzi mpya lazima umdiss wa zamani? Afu huyu atakuwa anamshobokea bado mtunis, but mtunis hamtaki. Inahusu kumkandia mwenzio et hana mvuto sijui na hela mmmmh, ulivyokuwa unajishaua naye kipindi kile hukujua kama hana mvuto au hana hela? Afu mtunis mbona ni hand wa haja tu.
We jishaue tu kama lucy komba, utasubiriwa vizuri siku ya harusi na huyo mzungu wako. Ombeni Mungu msichemke hata kitu kimoja, coz kwa unavyotafuta heshima kwa gharama, utaambulia dharau kwa bei nafuu. Kila la kheri muke ya muzungu mtarajiwa

Wazungu wenyewe wa kukutana double tree leo kesho wanatangaza ndoa, atasubir sana na ivi ana mitoto miwili sijui nani anatakaga mizigo siku izi, atajibeba , movie zimemshinda anaanza umalaya
 
Bado anamtakaa....yani katika mabwana zake woote walompitia anamkumbuka Mtunis tu? Mfyuuuuu.....

Kuachwa kubaya, anajiongelesha utadhan katoka milembe, kwanza yeye ndo aliyemtongoza, janamke malaya ili ptuu
 
Mambo ya kizamani na wanaofanya watoto wa form one ambapo wakiachana na wapenzi wao ndio wanaanza kuwasema vibaya.Dada anaonesha yupo after money na huko ataachwa tu maana bongo movie wana kasumba huwa hawatulizi papuchi zao kwa mtu mmoja
 
Siku izi libatuli sijui linavuta bhang? Izi ni hasira za kuachwa maana jamaa alimwambia ameoa aache kuongea upuuzi kwenye mitandao, naona bibie kapanick , kala ndimu hadi zimemkinai kaamua atoe ya rohoni

mwehu huyu yaani anatafuta umaarufu kunuka tu mi ht sioni anachokiigiza
 
Mkosaji bwana .eti hana mvuto ila mwenzio alikufata kwa ajili ya kukutumia tu na kukupotezea mda.sasa pima kati yako wewe unaefahamu wanaume wenye mvuto na yeye alieamua kukutumia kwa mda mrefu na kukusugua kila kona nani kapoteza???????zen utapata jibu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii Tanzania na watu akili ndogo kama waigizaji wetu, sijui lini tutafika kule tunapopenda fika
 
hivi hawajifunzi kwa wanawake wenzao akina jolie, maana nilishamsikiaga shilole akisema kama huna hela humpati, fanyeni kazi muwe na uhuru wa kifedha sio kutegemea k
 
Kuachwa kubaya, anajiongelesha utadhan katoka milembe, kwanza yeye ndo aliyemtongoza, janamke malaya ili ptuu

Au kamiss lile Prado la mtunis....halafu jamaa nasikia yuko vizuri tu...vijihela anavyoo....
 
mwehu huyu yaani anatafuta umaarufu kunuka tu mi ht sioni anachokiigiza

Yaani hili limama silipendi balaa,nilimpenda ile movie ya kwanza (fake smile) alivyoigiza upole nikadhani ndivyo alivyo kumbe ni walewale tu...
Tena naenda kuli unfollow huko insta sasa hivi
 
Kuachwa kubaya, anajiongelesha utadhan katoka milembe, kwanza yeye ndo aliyemtongoza, janamke malaya ili ptuu

Uwiiiii!kumbe yeye ndiye aliyetongoza?what a cheap woman?
Sipendi kabisa wanawake wanaojirahisisha...
 
Huyo Mtunisi mwenyewe anavyojichubuaaaa mhhh miye hoiiii? :A S-confused1: kama Dida tu
 
Uwiiiii!kumbe yeye ndiye aliyetongoza?what a cheap woman?
Sipendi kabisa wanawake wanaojirahisisha...

Batuli anampenda sana mtunisy anajishaua tu apo kujiongelesha kama yupo kwenye Audition
 
Back
Top Bottom