Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

Kwa staili hii! Kazi ipo! Nilikuwa namheshimu sana huyu batuli aisee! Kumbe ndio hamnazo namna hii? Hajitambui!
 
time will tell, hawachelewi kula matapishi yao hao ukajiaminishe hivyo bwana mwenyewe miezi miwili bado katamaa tamaa kapo uanze kutukana mamba?.
 
Kuna dada yule kwenye video ya Dudubaya Mpenzi anapush "Mark X" ya Silver.
 
Back
Top Bottom