Bavarian Illuminati halikuwa shirika baya, watu wamechafua title ya hili shirika kimaslahi

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Watu wengi wanaamini Illuminati ni ushetani lakini uhalisia wa illuminati haupo kama unavyo dhaniwa hili shirika lilikuwa na lengo zuri.

The issue ni our programmed mind we know and believe what we have been told and ignore other learning opportunities.
 
Kihistoria Illuminati ilianzishwa ikiwa na agenda ya siri ya kupinga ushawishi wa dini na monarchies kwenye elimu na siasa.

Structure yake ya siri ndiyo iliyozaa suspicion na controversy mpaka leo hii.
Sahihi, kumekuwa na conspiracy theories nyingi zikidai hii taasis ni ya nguvu za Giza lakini sio lengo kuu ilikuwa ni kufungua watu akili baada ya effect ya kidini na mifumo kuonekana.
 
Wame ishia wapi !?

Inshort ukishaipinga dini Hata kama una lengo zuri la kuwafumbua watu macho na kuwatoa katika ujinga lazima uitwe mpinga Kristo mshirikina and the likes lazima wenye society Yao ya hizo dini wa ku- lebel majina maovu ili waumini wao wasiweze kuwakimbia
 
Ukweli ni kwamba ni ngumu mno watu kufunguka akili especially kwenye kuujua ukweli na kutafuta uhuru wa maisha. Dini ni vifungo kama vifungo vingine.
 
Secret societies zilianzishwa kuwafungua watu macho kuhusu uongo wa dini waliokuwa wanalishwa watu kwa nguvu. Enzi hizo wakigundua kwamba unapingana mafundisho ya dini basi wewe hukumu yako ni kifo cha kikatili
 
Duh mfumo mzima wa dini umesukwa ndio. Hatujui huko mbeleni pengine watu watafunguka akili.
 
Waafrika ndio watu wenye kuamini dini kwa Asilimia 💯, huko kwingine watu wameshaamka kitambo sana. Ikumbukwe kuwa watu wa zamani walilishwa imani kwa upanga, haikuwa easy kuliwalisha matango pori
 
Hii ni kweli bro, maana mkoloni ametumia nguvu kubwa mno kumshawishi muafrika kuacha utamaduni wake na kufuata mkumbo.

Nipo pande za huku nyanda za juu kusini mzee huku makanisani ni mengi mno, wangeweza kubadili makanisa yawe viwanda tungekuwa mbali mno.
 
Back
Top Bottom