Hii ni kweli bro, maana mkoloni ametumia nguvu kubwa mno kumshawishi muafrika kuacha utamaduni wake na kufuata mkumbo.
Nipo pande za huku nyanda za juu kusini mzee huku makanisani ni mengi mno, wangeweza kubadili makanisa yawe viwanda tungekuwa mbali mno.
Kadri watu wanavyofunguka akili ndio wahumini wanazidi kupotea makanisani.Lakini sasa angalia hawa wazungu waliotuletea makanisa. Hii kwenye picha ni bar lakini zamani lilikuwa kanisa, wamebadilisha kufanyia biashara baada ya kukosa waumini (Utrecht, the Netherlands)
View attachment 3583056
Unaelewa maana ya illuminati mkuu, mbona huu mfano wako hau-relate na hii mada?Hapa unatufundisha kuwa kampuni iitwe Gay plates… alafu utuaminishe tuifate
Lazima tutapata was was mkuu hata Kama haijiusishi na hayo mambo
IndeedUkweli ni kwamba ni ngumu mno watu kufunguka akili especially kwenye kuujua ukweli na kutafuta uhuru wa maisha. Dini ni vifungo kama vifungo vingine.
Kuna tofauti kubwa ya mtu anayeamini dini na asiyeamini dini kwa hapa afrika?Waafrika ndio watu wenye kuamini dini kwa Asilimia 💯, huko kwingine watu wameshaamka kitambo sana. Ikumbukwe kuwa watu wa zamani walilishwa imani kwa upanga, haikuwa easy kuliwalisha matango pori
Kama waafrika wangebaki na tamaduni zao na kutofuata dini, unadhani hilo tu lingesaidia kwa sasa kwenye maendeleo afrika?Hii ni kweli bro, maana mkoloni ametumia nguvu kubwa mno kumshawishi muafrika kuacha utamaduni wake na kufuata mkumbo.
Nipo pande za huku nyanda za juu kusini mzee huku makanisani ni mengi mno, wangeweza kubadili makanisa yawe viwanda tungekuwa mbali mno.
Mkuu usihusishe sana moja kwa moja suala la watu kutofuata dini kuwa ndio wamefunguka akili, mfano hata hapa afrika kuna wazazi unakuta wanaamini katika dini ila sio watu wenye kuishi au kufuata mambo ya dini na si kwamba kwa sababu ya kufunguka akili na watoto watakaokuja kulea nao hawatokuwa watu wa kufuata mambo ya dini kutokana na aina ya malezi.Kadri watu wanavyofunguka akili ndio wahumini wanazidi kupotea makanisani.
Ila mzee mtu akiwa nje ya system unaona mengi mno.
Mkuu jadili hoja yake tu na kama unaona ni ya kipuuzi kwa upande wako basi achana nae usimjibu kuliko hii tabia ya kufanya mashambulizi kwa mtu kwa kuanza kutoana akili kwa sababu ya kutofautiana mitazamo.Unaelewa maana ya illuminati mkuu, mbona huu mfano wako hau-relate na hii mada?
Tatizo ukishakuwa mfia dini ni ngumu sana kufunguka kiakili dini inakulimit, unaona ya wengine hayapo sawa.
Kuna tofauti kubwa ya mtu anayeamini dini na asiyeamini dini kwa hapa afrika?
Kwa mtu ambaye hana dini lakini akaiteketeza hiyo laki tano kwa kununulia watu pombe bar na kununua malaya huyo mtu ana tofauti gani na huyo aliyempa mchungaji laki tano?Tofauti ni kumbwa sana, kwa mfano mimi siwezi kumba mchungaji laki tano, huo ni ufala.
Kwa mtu ambaye hana dini lakini akaiteketeza hiyo laki tano kwa kununulia watu pombe bar na kununua malaya huyo mtu ana tofauti gani na huyo aliyempa mchungaji laki tano?
Pengine lingesaidia, China, Japan, India walitawaliwa na wote wanaendelea kufuata tamaduni zao. Kabla ya ukoloni Africa nchi kama Mali zilikuwa tajiri mno, na waafrica walifuata tamaduni zao.Kama waafrika wangebaki na tamaduni zao na kutofuata dini, unadhani hilo tu lingesaidia kwa sasa kwenye maendeleo afrika?
Hapo ni suala la utofauti wa mitazamo tu katika hayo mambo, ila tushaona watu wamerudi nyuma kiuchumi au kufirisika kabisa kwa sababu kama hizo za kuendekeza starehe na kuacha kufanya mambo ya msingi.Tofauti ni kubwa, aliyenunua pombe ameenjoy good time na rafiki zake aliyempa Mwamposa laki tano katapeliwa.
Mimi mbona naamini dini lakini sitoi hata buku teni kwa wachungaji ?Tofauti ni kumbwa sana, kwa mfano mimi siwezi kumba mchungaji laki tano, huo ni ufala.
Baadhi ya dini Zina limit watu katika hatua flani ya kufikiri na hii unaelekea Ujinga kwa jamii. Mfano Kuna watu wanaamini kupona bila kuombewa haiwezekani kwahiyo wapo tayari waache hospitali waende kwa manabii wakaombewe. Wengine wanaamini kupata mafanikio ni Neema ya Mungu, kama Neema hiyo hujaipata basi utakuwa maskini wakati huo ukweli wa mafanikio upo kwenye maisha ya mtu binafsi, fursa, mifumo, Elimu na kutatua matatizo halisi ambayo watu wengine wanaweza wakafanya exchange ya value. Kwhy overall Kuna dini zina limit watu na watu hao wanabakia kwenye gereza la closed mindset.Mkuu usihusishe sana moja kwa moja suala la watu kutofuata dini kuwa ndio wamefunguka akili, mfano hata hapa afrika kuna wazazi unakuta wanaamini katika dini ila sio watu wenye kuishi au kufuata mambo ya dini na si kwamba kwa sababu ya kufunguka akili na watoto watakaokuja kulea nao hawatokuwa watu wa kufuata mambo ya dini kutokana na aina ya malezi.
Kwahiyo hata katika ngazi ya jamii nzima ni hivyo hivyo tu.
Kwani hizo nchi kama China au India zina mahusiano gani na maendeleo ya nchini kwao? Wahindi imani zao zina miungu kibao tu ila hilo halijaleta athari wala kuwa kikwazo kwa namna yeyote katika kupika hatua kwenye maendeleo.Pengine lingesaidia, China, Japan, India walitawaliwa na wote wanaendelea kufuata tamaduni zao. Kabla ya ukoloni Africa nchi kama Mali zilikuwa tajiri mno, na waafrica walifuata tamaduni zao.
Dini kwa upande mwingine zileta watu wavivu wanategemea miujiza na kuamini mafanikio hadi nataka flani ziwepo.
Watu wa dini wana mitazamo tofauti mkuu, mambo mengine ni aina ya imani binafsi ya mtu.Baadhi ya dini Zina limit watu katika hatua flani ya kufikiri na hii unaelekea Ujinga kwa jamii. Mfano Kuna watu wanaamini kupona bila kuombewa haiwezekani kwahiyo wapo tayari waache hospitali waende kwa manabii wakaombewe. Wengine wanaamini kupata mafanikio ni Neema ya Mungu, kama Neema hiyo hujaipata basi utakuwa maskini wakati huo ukweli wa mafanikio upo kwenye maisha ya mtu binafsi, fursa, mifumo, Elimu na kutatua matatizo halisi ambayo watu wengine wanaweza wakafanya exchange ya value. Kwhy overall Kuna dini zina limit watu na watu hao wanabakia kwenye gereza la closed mindset.