Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Sahihi, kumekuwa na conspiracy theories nyingi zikidai hii taasis ni ya nguvu za Giza lakini sio lengo kuu ilikuwa ni kufungua watu akili baada ya effect ya kidini na mifumo kuonekana.Kihistoria Illuminati ilianzishwa ikiwa na agenda ya siri ya kupinga ushawishi wa dini na monarchies kwenye elimu na siasa.
Structure yake ya siri ndiyo iliyozaa suspicion na controversy mpaka leo hii.
Wame ishia wapi !?Sahihi, kumekuwa na conspiracy theories nyingi zikidai hii taasis ni ya nguvu za Giza lakini sio lengo kuu ilikuwa ni kufungua watu akili baada ya effect ya kidini na mifumo kuonekana.
Propaganda za Freemason na Illuminati bongo zilifanywa na masheikh zaidi.Walokole wao wanavumisha kila kitu kama wehu tu
Mboni mleta mada kaleta habari nusu sana katuachia viulizoHistory ya illuminate na lengo lake imeelezewa vizuri kwenye kitabu cha "NEW WORLD ORDERS " mpaka vyeo
Ukweli ni kwamba ni ngumu mno watu kufunguka akili especially kwenye kuujua ukweli na kutafuta uhuru wa maisha. Dini ni vifungo kama vifungo vingine.Wame ishia wapi !?
Inshort ukishaipinga dini Hata kama una lengo zuri la kuwafumbua watu macho na kuwatoa katika ujinga lazima uitwe mpinga Kristo mshirikina and the likes lazima wenye society Yao ya hizo dini wa ku- lebel majina maovu ili waumini wao wasiweze kuwakimbia
Huwa hawaelewi mambo yametoka wapi, kuna baadhi ya taasisi zilikuja kwa lengo zuri tu lakini Wafia dini huwa hajui ukweli mwingine nje ya Vitabu vyao. Na ndio wajuaji mnoWalokole wao wanavumisha kila kitu kama wehu tu
Ni wahuni walipiga Hela mno, vipeperushi vilikuwa vingi mno.Propaganda za Freemason na Illuminati bongo zilifanywa na masheikh zaidi.
Kwanini mzee?Wewe ni dalali wa Bavarian illuminati?
Duh mfumo mzima wa dini umesukwa ndio. Hatujui huko mbeleni pengine watu watafunguka akili.Secret societies zilianzishwa kuwafungua watu macho kuhusu uongo wa dini waliokuwa wanalishwa watu kwa nguvu. Enzi hizo wakigundua kwamba unapingana mafundisho ya dini basi wewe hukumu yako ni kifo cha kikatili
Duh mfumo mzima wa dini umesukwa ndio. Hatujui huko mbeleni pengine watu watafunguka akili.
Hii ni kweli bro, maana mkoloni ametumia nguvu kubwa mno kumshawishi muafrika kuacha utamaduni wake na kufuata mkumbo.Waafrika ndio watu wenye kuamini dini kwa Asilimia 💯, huko kwingine watu wameshaamka kitambo sana. Ikumbukwe kuwa watu wa zamani walilishwa imani kwa upanga, haikuwa easy kuliwalisha matango pori