Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #41
Huoni wanaishi katika tamaduni zao, effect ya foreign culture haijaleta effect mfano hawa watu wanaamini katika kufanya kazi mno nadhani duniani top 3 utakutana na nchi kama Japan Ina watu wanaopiga kazi mno Wana Imani inayoitwa Karoshi. Ila njoo Tanzania jumatano, alhamis, ijumaa, jumamosi, jumapili wapo kanisani wanautafuta ufalme wa mbinguni.Kwani hizo nchi kama China au India zina mahusiano gani na maendeleo ya nchini kwao? Wahindi imani zao zina miungu kibao tu ila hilo halijaleta athari wala kuwa kikwazo kwa namna yeyote katika kupika hatua kwenye maendeleo.
Both play role mkuu huu ni mfumo wa government yetu vilevile dini ni moja ya issue ambayo huwezi kuacha kuangalia.Tatizo Wala sio dini mfano hapa Tanzania 500b zinatumika Kununua magari ya kifahari,sasa hili lina uhusiano Gani na dini ? Wakati jamii haina maji,Barabara nk
Rais Mkapa alichukua 133b kugharimu uchaguzi,shida ya mtu mweusi haipo kwenye imani ya dini Bali akili yake.
Mkoloni aliondoka huku akiacha maendeleo mazuri tu hapa Afrika mfano ni Zimbabwe,leo hii hali ikoje Zimbabwe chini ya weusi ZANU-PF ?Hii ni kweli bro, maana mkoloni ametumia nguvu kubwa mno kumshawishi muafrika kuacha utamaduni wake na kufuata mkumbo.
Nipo pande za huku nyanda za juu kusini mzee huku makanisani ni mengi mno, wangeweza kubadili makanisa yawe viwanda tungekuwa mbali mno.
Na tulipumbazwa dini zina effect kwetu ilikuwa one of the driven factor ya kushusha.Mkoloni aliondoka huku akiacha maendeleo mazuri tu hapa Afrika mfano ni Zimbabwe,leo hii hali ikoje Zimbabwe chini ya weusi ZANU-PF ?
Pale South Africa chini ya ANC Hali ikoje ? Ukilinganisha ni enzi za Makaburu ?
Wakina Mwalimu Nyerere walipewa nchi zikiwa vizuri kuzidi nchi kama Singapore,Leo hii Tanzania ikoje ukilinganisha na Singapore?
Shida sio dini ,shida ya mtu mweusi ni akili yake
Kafara ni nini kwani bro?Kwahiyo kafara ni misemo ya watu tu
kafara ni sadaka atoayo mtu kupata kitu.Kafara ni nini kwani bro?
Kuna uwezekano ipo lakini haifanyi kazi kama watu wanavyodhani ni uuaji kama mwingine tu mkuu.kafara ni sadaka atoayo mtu kupata kitu.
Inasadikika kuna sadaka ya damu je ni kwel au nao ni uzush tu mkuu
Nielewavyo karoshi sio imani ni neno lenye kumaanisha kifo, huko kufanya kwao sana kazi kupitiliza husababisha sana maradhi yenye kuwafanya wafe ni moja ya changamoto kubwa. Na huo ni utamaduni wao hata waumini wa kikristo wa huko Japan wako hivyo hivyo ndio maana tunasema tatizo sio dini mtu anaweza asikeshe kwenye nyumba za ibada ila akakesha viwanja vya starehe.Huoni wanaishi katika tamaduni zao, effect ya foreign culture haijaleta effect mfano hawa watu wanaamini katika kufanya kazi mno nadhani duniani top 3 utakutana na nchi kama Japan Ina watu wanaopiga kazi mno Wana Imani inayoitwa Karoshi. Ila njoo Tanzania jumatano, alhamis, ijumaa, jumamosi, jumapili wapo kanisani wanautafuta ufalme wa mbinguni.
Badala waangalie chanzo cha tatizo wao wanaangalia zile athari za tatizo na kukwepa kiini cha tatizo ni watu wenyewe na sio imani zao, ndio maana watakuja wengine watakwambia tatizo la waafrika ni imani za kichawi ila ukiangalia wote wapo vile vile tu mwenye dini na sie na dini.Mkoloni aliondoka huku akiacha maendeleo mazuri tu hapa Afrika mfano ni Zimbabwe,leo hii hali ikoje Zimbabwe chini ya weusi ZANU-PF ?
Pale South Africa chini ya ANC Hali ikoje ? Ukilinganisha ni enzi za Makaburu ?
Wakina Mwalimu Nyerere walipewa nchi zikiwa vizuri kuzidi nchi kama Singapore,Leo hii Tanzania ikoje ukilinganisha na Singapore?
Shida sio dini ,shida ya mtu mweusi ni akili yake
Hicho kitabu kimeelezea kila kitu sema siku hizi nimekuwa mvivu kwenye kuandika yaani mambo yote yanayotokea sasa hivi yameelezewa kwenye kitabu kile ngoja niishie hapo kwanzaMboni mleta mada kaleta habari nusu sana katuachia viulizo