BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
 
Kama unaamini sio mali yao wewe tuambie ni mali ya nani, wacha kelele zisizo na msingi.

Kwamba kwasababu wameandika kwa "mark pen" ndio iwe sababu ya kusema jengo sio mali yao? wacha uzuzu.
Sasa lini ukazindua jengo lako alafu uandike kwa mark pen inayofutika? Acha utoto basi
 
Pascal Mayalla please keep your standards, some things are not of your standard.
 
Wewe boya nani alikuambia CHADEMA inahitaji kuproove kwako kuwa hili jengo ni lake? Usipoamini utajijua mwenyewe.
 
Kwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?

Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!

Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
 
Kwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?

Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!

Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
Kwa hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…