ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Huenda hilo ni banda [tuseme jengo kama mnavyoita] la kwanza kujengwa na kumilikiwa [if that] na chama ndiyo maana linahubiriwa kama maendeleo.Wewe boya nani alikuambia CHADEMA inahitaji kuproove kwako kuwa hili jengo ni lake? Usipoamini utajijua mwenyewe.
Vinginevyo kukenua na kujadili banda kama hili ni udumavu wa afya ya akili.