BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

Wewe boya nani alikuambia CHADEMA inahitaji kuproove kwako kuwa hili jengo ni lake? Usipoamini utajijua mwenyewe.
Huenda hilo ni banda [tuseme jengo kama mnavyoita] la kwanza kujengwa na kumilikiwa [if that] na chama ndiyo maana linahubiriwa kama maendeleo.

Vinginevyo kukenua na kujadili banda kama hili ni udumavu wa afya ya akili.
 
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Kuzindua jengo haimaanishi ni mali yao.

Inawezekana mwanachama mmoja akaomba viongozi wakazindue jengo lake.

Wangeandika jengo hili la CHADEMA Tawi la..... hapo ndo wangekuwa wamiliki
 
Huenda hilo ni banda [tuseme jengo kama mnavyoita] la kwanza kujengwa na kumilikiwa [if that] na chama ndiyo maana linahubiriwa kama maendeleo.

Vinginevyo kukenua na kujadili banda kama hili ni udumavu wa afya ya akili.
Wewe boya anayejadili ni wewe au CHADEMA?
 
Wacha maneno wewe weka jina la mmiliki hapa kwa nyaraka halali
Pia hajui kama SII zile walizokuwa wanazibomoa kiharamia zingekuwa ofisi zimeenea Hadi mlangoni mwake pamoja na wivu wake wote Kwa Chadema 🚶
 
Namuona kamanda Mwaipaya hapo,huyu Kamanda nilikua rafiki wa Facebook since 2014 na nimeona harakati zake kuhusu CHADEMA Toka ana'anza mpaka sasa,kiukweli anakipenda sana Chama chake
 
Back
Top Bottom