BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho

Hapo Ndio naposhangaa siasa , haina breki kuna mambo mengine ni sensitive Lakini siasa inaingizwa hasa kwa ushabiki tu kama wa mpira.

Kama kule USA kuna wana siasa walipiga kelele Guantanamo Ifungwe Lakini faida yake ilikuja kuonekana baadae kutokana na interrogations zilizofanyika

Ulinzi na usalama ni kitu cha kwanza kwa taifa lolote

Tuwaachie wana usalama wafanye kazi yao
 
Porojo zitakusaidia nini ?
 
Haki itendeke, wafungwe au wawekwe huru tu
 
Kila la kheri. Hii EID imekuja na Neema zake.
 
Kwan muungano sio siasa?
 
Mmeona tuhuma walizo wakamatia na kuwaweka ndani hazina mashiko sasa mnataka kuwatupia kesi zamauwaji kutoka ugaidi
 
Magereza kuna siasa?
 
Upuuzi mtupu kiki za kijinga sana

Chadema ni chama cha malofa
Nenda wewe basi.maana inaonekana roho imekuuma sana.Wawe wamekwenda kutafuta kiki au kwa vyovyote utakavyoona bado haiondoi ukweli kua hao mashehe ni ndugu zetu,jamaa zetu na watanzania wenzetu.mambo ya kiki unajua wewe lofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…