BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho

Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema .

Hata hivyo ifahamike kwamba wakati sisi wengine tukisherehekea Idd majumbani mwetu pamoja na familia zetu , kule Ukonga wako Mashehe wamewekwa rumande kwa miaka 9 kwa sababu za kisiasa , sasa kama mnavyojua Vijana wa Bavicha wanafanya ziara ya kutembelea wafungwa wa kisiasa nchi nzima kwa lengo la kuwajulia hali na kuwapa moyo , na Idd hii ni zamu ya kuwaona Mashehe wa Uamsho Gereza la Ukonga .

View attachment 1783662

Wapenda Haki Wote Mnakaribishwa

UPDATES
=========
Viongozi wa Bavicha wamezuiwa kuingia gereza la Ukonga , ambapo taarifa ya Askari wa zamu inaeleza kwamba KUNA MAAGIZO KUTOKA JUU KUIZUIA BAVICHA KUWAONA UAMSHO .

Hata hivyo ile nia ya dhati ya Bavicha kuwajali wafungwa wa kisiasa na kufika gerezani Ukonga bila shaka imeonwa na Mwenyezi Mungu , na kwa hakika atawalipa kwa wema huo mlioutenda .
CHEZEENI KWINGINE KOOOTE LAKINI SIYO HAO MASHEHE SIYO WATU WA KAWAIDA HAMUWEZI KUWAONA KIRAHISI RAHISI KAMA MNAENDA KUMUONA MDUDE
 
Hivyo ndivyo ilivyo , kilichowaponza uamsho ni Serikali 3 iliyopendekezwa na katiba ya Warioba , Huyu Shehe Farid ameshiriki mara kadhaa kwenye midahalo ya Tume ya Warioba , hajawahi kuwa gaidi na wala hakuna atakayetoa ushahidi wa ugaidi hapa , Si JK au Shein waliowaweka ndani atakayethibitisha Ugaidi wao
Kufanya midahalo pekeyakehaiwezi kuwaweka magereza muda wote huo huoni zanzibar sasa shwarii unajuwa ukweli unaujuwa ila wewe ndiyo unaleta siasa za uchadema wako kwakuwa chadema walisema watawatoa wakiingia madarakani
 
Huyu binti hakuna jambo la kheri alishawahi kuandika hapa JF! Ovyo kabisa
 
Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema .

Hata hivyo ifahamike kwamba wakati sisi wengine tukisherehekea Idd majumbani mwetu pamoja na familia zetu , kule Ukonga wako Mashehe wamewekwa rumande kwa miaka 9 kwa sababu za kisiasa , sasa kama mnavyojua Vijana wa Bavicha wanafanya ziara ya kutembelea wafungwa wa kisiasa nchi nzima kwa lengo la kuwajulia hali na kuwapa moyo , na Idd hii ni zamu ya kuwaona Mashehe wa Uamsho Gereza la Ukonga .

View attachment 1783662

Wapenda Haki Wote Mnakaribishwa

UPDATES
=========
Viongozi wa Bavicha wamezuiwa kuingia gereza la Ukonga , ambapo taarifa ya Askari wa zamu inaeleza kwamba KUNA MAAGIZO KUTOKA JUU KUIZUIA BAVICHA KUWAONA UAMSHO .

Hata hivyo ile nia ya dhati ya Bavicha kuwajali wafungwa wa kisiasa na kufika gerezani Ukonga bila shaka imeonwa na Mwenyezi Mungu , na kwa hakika atawalipa kwa wema huo mlioutenda .
Mungu ibariki JF
 
Back
Top Bottom