minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mbowe na akina mdee ndiyo wameipeleka chadema ICU kwa njaa zao siyo mnyika na Lisu ambao hawakupokea chochote tokea CCMChadema itakufa kama CCM kwa makosa ya chama sio ya kutengenezwa kama haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na akina mdee ndiyo wameipeleka chadema ICU kwa njaa zao siyo mnyika na Lisu ambao hawakupokea chochote tokea CCMChadema itakufa kama CCM kwa makosa ya chama sio ya kutengenezwa kama haya.
Hilo ni Tatizo kubwa watumwa wa kike waliouzwa kwa Ndungai hawana nidhamu kwa Uongozi kabsa ndiyo maana Halima mdee kaanza kumchafua mnyika kwenye mitandao"Chadema familia ya kambale, kila mtu ana sharubu"
Juma Duni Haji
Wameshituka hawana kikao tena wamegundua kuwa huu ni mchongo wa Salum mwalimu na mbowe ndiyo maana wameuchuna kinyaSaa tano iliyosemwa ni ya Bara gani????
Kumbe mambo yapo hivyo?Na halima anaongea na waandishi wa Habari soon
Atasema kila kitu Mpaka Hao madem wa viongozi ambao walikuwa wanataka wawe kwenye viti maalum ambao yy ajawaweka
Kasemaje Mdee... Haji Duni alishaangaa sana mfumo wa chadema kila mtu ana maamuzi hakuna hierarchy (muundo wa utawala)Hilo ni Tatizo kubwa watumwa wa kike waliouzwa kwa Ndungai hawana nidhamu kwa Uongozi kabsa ndiyo maana Halima mdee kaanza kumchafua mnyika kwenye mitandao
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu.
Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Chadema ishakufa, halima atakuwa mbunge wa Mahakama atafanya kazi kwa miaka yake mitano then anasepa na maisha yakeHata wao hawakupaswa kuwa kwenye viti maalum kwani tayari wamegombea kwenye majimbo, Halima mdee anaizika chadema kwa njaa zake, ni mara mia wamfukuze kabsa chadema itaheshimika kuliko kubaki nae kisha chadema ifariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Ndio maana nilesema haiwezekani watu 19 waende bungeni bila tarifa yoyote halafu serekaili iwaapishe bila kuwa na taatifa kutoka kwenye chama.Wameshituka hawana kikao tena wamegundua kuwa huu ni mchongo wa Salum mwalimu na mbowe ndiyo maana wameuchuna kinya