BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Walishavurugana siku nyingi. Mbowe anawacheki tuu akipiga fundo la konyagi.Tunasubiri msimamo wa Mbowe siyo hao watoto vya BAVICHA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishavurugana siku nyingi. Mbowe anawacheki tuu akipiga fundo la konyagi.Tunasubiri msimamo wa Mbowe siyo hao watoto vya BAVICHA!
acha uzwazwa wewe zuzu.. MNYIKA ameshasema kuwa wanachama watoe maoni yao kabla ya tar 27 sasa wewe na ugonwa wenu huo wa kukurupuka kama babaenu MEKO hii haikuhusu katulize makalio yako lumumba umsikilize CHAKUBANGABavicha ikamjadili Bawacha chama hakina mpangilio!
Na mkileta za kuleta tutawagonga kweli kweliSawa sisi watanzani ninyi ni wanyarwanda ndiyo mnatutawala kwa mkono wa chuma
Kagame tipe
Mbowe na Salum mwalimu wamevuta bilion 3 kimya kimya kwa kuwazunguka Lisu na mnyika kuna mtiti unafukuta chini chini na endapo kesho mbowe haitawafukuza akina mdee atambue kuwa chadema inafariki ghafra kama CUF ya LipumbaTunasubiri msimamo wa Mbowe siyo hao watoto vya BAVICHA!
Mnyika na Lisu hawajui mchezo wa mbowe na mwalimu na huenda kesho Mnyika akaja na maamuzi magumu baada ya Halima mdee kumchafua kumdhalilisha kwenye mitandaoacha uzwazwa wewe zuzu.. MNYIKA ameshasema kuwa wanachama watoe maoni yao kabla ya tar 27 sasa wewe na ugonwa wenu huo wa kukurupuka kama babaenu MEKO hii haikuhusu katulize makalio yako lumumba umsikilize CHAKUBANGA
BUBERWA D.
"Chadema familia ya kambale, kila mtu ana sharubu"Kama kamati kuu inakaa, basi wasubiri kwanza isije kuwa mvurugano.
Hata Lissu mbona nasikia naye kavuta 1 billioniMbowe na Salum mwalimu wamevuta bilion 3 kimya kimya kwa kuwazunguka Lisu na mnyika kuna mtiti unafukuta chini chini na endapo kesho mbowe haitawafukuza akina mdee atambue kuwa chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Mbowe hawezi kumfukuza Halima James Mdee ila Halima James Mdee anaweza kumfukuza Mbowe Chadema.Mbowe na Salum mwalimu wamevuta bilion 3 kimya kimya kwa kuwazunguka Lisu na mnyika kuna mtiti unafukuta chini chini na endapo kesho mbowe haitawafukuza akina mdee atambue kuwa chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Kamchafuaje?Mnyika na Lisu hawajui mchezo wa mbowe na mwalimu na huenda kesho Mnyika akaja na maamuzi magumu baada ya Halima mdee kumchafua kumdhalilisha kwenye mitandao
Ununuzi haramu wa watumwa wa kike tokea chadema ni dhahiri sasa umekuwa mwiba mchungu kwa chademaItasaidia kuwafukuza haraka wale wabunge maalumu wa Ndugai kwa haraka.
Mnyika anahamia CCM na atapata uteuzi!Mnyika na Lisu hawajui mchezo wa mbowe na mwalimu na huenda kesho Mnyika akaja na maamuzi magumu baada ya Halima mdee kumchafua kumdhalilisha kwenye mitandao
Fuatilia Twitter na kwenye mitandao mingineKamchafuaje?
Wapo hivyo siku zote, harakati zilificha udhaifu wao, saivi wapo uchi, chadema sio taasisi ni saccosKama kweli watatoa msimamo wao kabla ya kikao kilichoitishwa na Km watazibitisha CHADEMA ni mkusanyiko wa kikundi cha wanakikundi wasio na taratibu za kuendesha kikundi chako
Hicho ndicho inafuata maana hawezi kuvumilia dharau ya Halima mdeeMnyika anahamia CCM na atapata uteuzi!
Njaa ya mbowe inaizika chadema keshoChadema imeshakufa rasmi
Take my words hawatokwenda, na kama wakienda nakupa elf 50Nilidhani una logic nikawa nakujibu.
Siyo njaa bwashee bali Mbowe ni mfanyabiashara!Njaa ya mbowe inaizika chadema kesho
Akina mdee wamebaka uteuzi wa viti maalum kwa njia haramu za kishetaniChadema wako sahihi mara zote, seke seke hili la wabunge wa viti maalum, litaibua tafsiri zisizo za haki ili mradi kuhalalishwa uharamia wa uteuzi wa wabunge viti maalum.Halima mdee na wenzako wana kesi ya kujibu mbele ya Kamati kuu ya Chama.