moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Familia ya kambale.Kwanini wasisubiri kwanza kikao cha kamati kuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia ya kambale.Kwanini wasisubiri kwanza kikao cha kamati kuu?
Kamati kuu inakaa kesho.Bavicha wamefanya vizuri kukaa kikao mapema.
Kamati Kuu Chadema inaonyesha kulipuuza swala hili ndio maana haijakaa kikao cha dharura. Ni ishara kuwa Kamati Kuu iko nyuma ya mchezo unaoendelea wa kuwalaghai mashabiki waliojazwa hasira.
Mpaka mwisho, sakata hili litaishia kwenye kauli tupu za mdomoni zisizoathiri chochote.
Wakidharau inakula kwao.Bawacha hawatokwenda kwenye kikao cha ijumaa
Ni kwa usalama wao tuWakidharau inakula kwao.
4 days after wabunge kuapishwa! Ni dalili kuwa hawalipi uzito jambo hilo.Kamati kuu inakaa kesho.
Wanakaa kuongea nn wakati walishakaa na akidi ilitimia na Mpaka kura zilipigwa?Kamati kuu inakaa kesho.
Walipopiga kura ikawaje acheni uongo.Mdee anazo Mpaka documents za kikao ambacho Walikaa na kukubali majina yaende Tena walibishana Mpaka ikafikia atua ya kupiga kura
Na waliotaka viti maalum waende walishinda
Hoja hapa ni moja tu, madem wa viongozi hawapo kwenye Ile list ndio shida
Ulitaka wawahoji kabla ya kuapishwa au siku hiyo hiyo baada ya kuapishwa.4 days after wabunge kuapishwa! Ni dalili kuwa hawalipi uzito jambo hilo.
Waliosema viti maalum viende walishindaWalipopiga kura ikawaje acheni uongo.
Nadhani ingependeza kama wangepeleka maoni/mapendekezo yao kwenye kamati (nilifikiri katibu alimaanisha hivyo ).Nadhani wanataka kutoa maoni yao,,hukusikia wito wa Mnyika kwamba wanachama watoe maoni yao kabla ya tarehe 27?
Nilidhani una logic nikawa nakujibu.Ni kwa usalama wao tu
Wale ni watoto wa kike unawaitaje wakati umehamasisha vijana wengi nao wawepo?
Mnataka kuwabaka au kuwavunjia vioo magari yao?
Ulitaka wawahoji kabla ya kuapishwa au siku hiyo hiyo baada ya kuapishwa.
Taarifa za maandalizi ya kuapishwa zilikuwepo.Ulitaka wawahoji kabla ya kuapishwa au siku hiyo hiyo baada ya kuapishwa.
Hapo mi sijakuelewa. Kama unasema majibu ya katibu yalitokana na kikao (cha kamati?), sasa kikao kingine cha nini? Siwangefikia maamuzi yote kwenye hicho kikao ndio waite waandishi wa habari?Mkuu hata yale yanatokana na kikao hakutoka tu km nakusema yale, ccm jifunzeni kuheshimu sheria na kanuni.
Hapana, Chadema ni taasisi haiwezi kutoa maamuzi based on taarifa za mitaani walitakiwa wapate uhakika kwanza.Taarifa za maandalizi ya kuapishwa zilikuwepo.
Kwahiyo, chama kingekuwa serious kingeitisha mkutano kabla ya kuapishwa kikawaonya, na baada ya kuapishwa kingeitisha mkutano immediately.
Chama kina vikao vingi sio cha kamati kuu pekee.Hapo mi sijakuelewa. Kama unasema majibu ya katibu yalitokana na kikao (cha kamati?), sasa kikao kingine cha nini? Siwangefikia maamuzi yote kwenye hicho kikao ndio waite waandishi wa habari?
Hebu wataje ambao wamekwisharopoka na walichoropoka, ili ujiondoe kwenye orodha ya WAROPOKAJI!CDM hawaishi vituko, ila hii yote inaonyesha kuna ombwe kubwa la uongozi kutoka juu ndio maana kila kiongozi wa ngazi yoyote CDM anajaribu kuropoka.
Well, sasa ndio hicho kimetokeo. Taarifa walizodhani ni za mitaani hazikuwa za mitaani. Walitakiwa kuwa makini na kuwahoji wahusika badala ya kupuuza.Hapana, Chadema ni taasisi haiwezi kutoa maamuzi based on taarifa za mitaani walitakiwa wapate uhakika kwanza.